Tanzia: Mpokee kwa amani ndg Ladyfuraha

Tanzia: Mpokee kwa amani ndg Ladyfuraha

Status
Not open for further replies.

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
BREAKING NEWS

Ninasikitika kuleta habari ambayo bado ni tete na yenye kinzani hapa jamvini
ni leo majira ya saa 4:45 asubuhi tumempoteza ndg yetu Ladyfuraha
sijui chanzo nini wala sijajua kinachoteteleka kwake ila kwa habari kamili
nitawajuza hapo baadaye acha nifuatilie undani wake kwa ndugu zake
Nije nilete taarifa kamili ambazo mtazielewa hapo mchana.
 
Hivi hapa kuna Member Ladyfuraha ?
Hapa nimjuaye mie ni ladyfurahia !
Hawa ni watu wawili tofauti au? Ufafanuzi pliz !
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,does that means you are not sure?
Ladyfurahia.
 
Aisee,
Sema vizuri ili nikuelewe.

Eti Mkuu Mamndenyi !
Mtoataarifa ana confirm death , soon later anaonekana hana hakika !
The ID of the Deceased ni ngeni! Wewe unamjua Ladyfuraha ?
Habari changanya!
 
Last edited by a moderator:
Ladyfuraha?!!

Nimebaki njia panda...where is my wii ladyfurahia?

Niondoe utata tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Block City
Lazima anajua analotaka kulisema;
Imebidi niangalie kalenda kuhakikisha kama ni tarehe 1/4 lakini hapana;

Nimeingia kwa ladyfurahia ametuma uzi saa nne na nusu.

Ngoja tuendelee kusikiliza;
Pengine anataka kusema kitu au ni ndoto itajulikana tu.

Eti Mkuu Mamndenyi !
Mtoataarifa ana confirm death , soon later anaonekana hana hakika !
The ID of the Deceased ni ngeni! Wewe unamjua Ladyfuraha ?
Habari changanya!
 
Last edited by a moderator:
BREAKING NEWS

Ninasikitika kuleta habari ambayo bado ni tete na yenye kinzani hapa jamvini
ni leo majira ya saa 4:45 asubuhi tumempoteza ndg yetu Ladyfuraha
sijui chanzo nini wala sijajua kinachoteteleka kwake ila kwa habari kamili
nitawajuza hapo baadaye acha nifuatilie undani wake kwa ndugu zake
Nije nilete taarifa kamili ambazo mtazielewa hapo mchana.

ladyfurahia amelogin saa 10:47 leo asbh.
Huyo Ladyfuraha ndio nan mkuu?
 
Last edited by a moderator:
bado nafuatilia ishu hii kwa ndugu zake kwani nami bado niko njia panda jamani
nikipata jibu lenyewe nitawajuza vyema kwani mm mwenyewe nimeshtuka
aliniambia mdogo wake huku akilia wakati yuko hospital sasa sijui vizuri acha
nilifuatilie wandugu ndipo niwape data kamili
Hivi hapa kuna Member Ladyfuraha ?
Hapa nimjuaye mie ni ladyfurahia !
Hawa ni watu wawili tofauti au? Ufafanuzi pliz !
 
bado nafuatilia ishu hii kwa ndugu zake kwani nami bado niko njia panda jamani
nikipata jibu lenyewe nitawajuza vyema kwani mm mwenyewe nimeshtuka
aliniambia mdogo wake huku akilia wakati yuko hospital sasa sijui vizuri acha
nilifuatilie wandugu ndipo niwape data kamili

Kwa nini usisubiri kwanza mpaka upate taarifa kamili ndipo uandike hyo thread? Umevuta bangi? Au ni viroba vinafanya kazi yake?
 
someni vizuri ni heading inasema TANZIA lakini mbele inasema tumpokee kwa amani wakati sisi si wafu wala pepo wala miungu wala jehanam wala mbingu halafu hiyo ID ya LADYFURAHA ni ngeni kwetu wote there is something phoney here
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom