Tanzia: Mpokee kwa amani ndg Ladyfuraha

Tanzia: Mpokee kwa amani ndg Ladyfuraha

Status
Not open for further replies.
ni kweli nimeongea na kaka yake amesema hatunae
na mazishi yanafanyika nyumbani kwao
yaani hata mm nimechanganyikiwa marafiki zangu
kwani kaka yake nampigia mara nimpate mara nisimpate vizuri
details zinaendelea kuja kidogokidogo

hebu ulete taarifa kamili....
 
ni kweli nimeongea na kaka yake amesema hatunae
na mazishi yanafanyika nyumbani kwao
yaani hata mm nimechanganyikiwa marafiki zangu
kwani kaka yake nampigia mara nimpate mara nisimpate vizuri
details zinaendelea kuja kidogokidogo

mbona hakuna memba anayeitwa Ladyfuraha hii habari inakanganya
 
Last edited by a moderator:
Kufikia muda huu na muda Sredi hii ilipofika hapa Jf.
Sasa naanza kupata picha ya mbali kwamba hii SINTOFAHAMU na UKANGANYAJI , DISTURBUS tuliyoletewa hapa behind the scene kuna mkono wa ladyfurahia !
Uzoefu unaonyesha ladyfurahia hawezi maliza almost 5 hrs pasipo kuwa online Jf na hasa anapokua ametoa Uzi au post/comments soon .
Saa 4.30 leo asubuhi imehakikiwa alifanya muamala humu.
Na SINTOFAHAMU hii inachanganya watu nae kaminya tu, anacheza na akili zetu .
Haji kukanusha kwa nini ?
Kama sio usanii ?
 
Last edited by a moderator:
mbona mwandiko wako unipa taarifa nyingine tu?
halafu ulitakiwa uwe na uhakika juu ya habari hii ndo ulete taarifa nzito kama hii..
ni kweli nimeongea na kaka yake amesema hatunae
na mazishi yanafanyika nyumbani kwao
yaani hata mm nimechanganyikiwa marafiki zangu
kwani kaka yake nampigia mara nimpate mara nisimpate vizuri
details zinaendelea kuja kidogokidogo
 
ni kweli nimeongea na kaka yake amesema hatunae
na mazishi yanafanyika nyumbani kwao
yaani hata mm nimechanganyikiwa marafiki zangu
kwani kaka yake nampigia mara nimpate mara nisimpate vizuri
details zinaendelea kuja kidogokidogo

Naona unatafutwa kutukanwa jioni hii umentia hasira sana
 
pole ni kweli imetokea hivyo
kuna mtu alikinzana naye kwenye simu
akanywa sumu nduguze walimuwaisha
hospitali ikatokea hivyo,
msiba uko kinondoni mtaa wa ufipa kwa kakayake
sijui kwanini marafiki wa humu mjengoni wanataka
kunitukana pasipo makosa yoyote kwani mm mwenyewe
habari nilipata nusunusu kwa kaka yake ambaye ni rafiki yangu
nisameheni kwa kuwakinza taarifa hii

marafiki wa humu
mbona mwandiko wako unipa taarifa nyingine tu?
halafu ulitakiwa uwe na uhakika juu ya habari hii ndo ulete taarifa nzito kama hii..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom