Tanzia: Mpokee kwa amani ndg Ladyfuraha

Tanzia: Mpokee kwa amani ndg Ladyfuraha

Status
Not open for further replies.
kwa huu mwandiko tu,wewe ndo ladyfurahia mwenyewe....sijui kama unaelewa unachokifanya
pole ni kweli imetokea hivyo
kuna mtu alikinzana naye kwenye simu
akanywa sumu nduguze walimuwaisha
hospitali ikatokea hivyo,
msiba uko kinondoni mtaa wa ufipa kwa kakayake
sijui kwanini marafiki wa humu mjengoni wanataka
kunitukana pasipo makosa yoyote kwani mm mwenyewe
habari nilipata nusunusu kwa kaka yake ambaye ni rafiki yangu
nisameheni kwa kuwakinza taarifa hii

marafiki wa humu
 
Last edited by a moderator:

Hii typo ni ya ladyfurahia kabisaaaa.
 
Mh! Haya mkuu ukipata taarifa zaidi utujuze.

Halafu si alikuwa na :mimba: ( Kaizer sijui unahusika na hapa? Cc: sosoliso)???????
 
Last edited by a moderator:
BREAKING NEWS

Ninasikitika kuleta habari ambayo bado ni tete na yenye
kinzani hapa jamvini
ni leo majira ya saa 4:45 asubuhi tumempoteza ndg yetu Ladyfuraha
sijui chanzo nini wala sijajua
kinachoteteleka kwake ila kwa habari kamili
nitawajuza hapo baadaye acha nifuatilie undani wake kwa ndugu zake
Nije nilete taarifa kamili ambazo mtazielewa hapo mchana.

Maandishi ya rangi ya bluu yanaonesha kama kuna hila hivi...
 
pole ni kweli imetokea hivyo
kuna mtu alikinzana naye kwenye simu
akanywa sumu nduguze walimuwaisha
hospitali ikatokea hivyo,
msiba uko kinondoni mtaa wa ufipa kwa kakayake
sijui kwanini marafiki wa humu mjengoni wanataka
kunitukana pasipo makosa yoyote kwani mm mwenyewe
habari nilipata nusunusu kwa kaka yake ambaye ni rafiki yangu
nisameheni kwa kuwakinza taarifa hii

marafiki wa humu

Mbona tukimention hilo jina la Ladyfuraha halitokei?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom