lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Poleni sana wafiwa
Bwana ametoa na bwana ametwaa...Mungu Ampokee AmenBwana ametoa na ametwaa...lihimidiwe
Alipata lini ubunge hapo Ukonga? mi namjua Makongoro Mahanga!
Daaah, poleni wafiwa jamani, tatizo nini au presha kuelekea uchaguzi.
BACK TANGANYIKA
Faustine ndugule anaongoza jimbo gani maana haya majimbo yanachanganya watu sana.
Alipata lini ubunge hapo Ukonga? mi namjua Makongoro Mahanga!
Kafariki bungeni Dodoma? Mbona inatisha. Tupe taarifa zaidi.
Kama ni CCM alichelewa kufa. .afe tu who cares
Mwenye Enzi Mungu ampumzishe katika makazi ya kudumu kulingana na matendo yake hapa duniani, sala zetu huruma zetu hasira zetu hazito badilisha fungu lake Amina