Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,147
- 2,513
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu bi. Eugene mahali pema peponi
amen
amen
Kama ni CCM alichelewa kufa. .afe tu who cares
Faustine ndugule anaongoza jimbo gani maana haya majimbo yanachanganya watu sana.
Amefia Rock Hotel, jirani na kituo cha mafuta cha Shabiby.
Alilala vema hakuamka, wahudumu wakaita Polisi wakavunja mlango ndo kukuta kishatangulia mbele ya haki.
Mbona taarifa ya Naibu Spika inasema amefia nyumbani kwake?