babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,328
Alipata lini ubunge hapo Ukonga? mi namjua Makongoro Mahanga!
Mahanga wa segerea
Alipata lini ubunge hapo Ukonga? mi namjua Makongoro Mahanga!
Kwanza lilikua jimbo moja ndio mbunge akawa Makongoro Mahanga. Halafu wakaligawa ndio Makongoro akaend Segerea, na Mwaiposa akawa Ukonga. Marehemu ni kipindi kimoja tu katumikia ubunge huko UkongaMakongoro si Segerea kweli au nachanganya?
Duh halafu Jana tu kuna sehemu walikuwa wanamuongelea,kuwa anajenga bonge la ghorofa/hotel
Alipata lini ubunge hapo Ukonga? mi namjua Makongoro Mahanga!
barabara mbovu yeye yupo masaki alikuwa mzigo Kwetu wakazi ukonga
jimbo la segerea lilishagawanywa makongoro yupo segerea