Tanzia: Mbunge wa Ukonga, Eugene Mwaiposa afariki dunia

Tanzia: Mbunge wa Ukonga, Eugene Mwaiposa afariki dunia

Yericko Nyerere

Platinum Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,027
Reaction score
20,519
mwaiposa.jpg
Mama Eugene Mwaiposa enzi za uhai wake


Mbunge wa Ukonga Eugene Mwaiposa kafariki majira ya saa nne asubuhi mjini Dodoma.

Haijafahamika vema kama alikuwa anaumwa nini, lakini taarifa za awali zinasema, Amefia Rock hotel, jirani na kituo cha mafuta cha Shabiby.


TAARIFA YA NAIBU SPIKA
​
Bunge la jamhuri limepata msiba wa kufiwa na mbunge wa jimbo la Ukonga, alikuwa na tatizo la shinikizo la damu kwa muda mrefu, Amefariki nyumbani kwake hapa Dodoma. Nyumbani kwa marehemu ni eneo la Chaduru opposite na jengo jipya la hoteli ya Shabiby barabara ya Dar es Salaam, Mwili umepelekwa hospitali ya mkoa wa Dodoma kwa uchunguzi zaidi.

Shughuli ya Kuaga itafanyika kesho baada ya familia yake kuwasili hapa Dodoma. Tutatumia mtandao wa simu kuwajulisha taarifa zaidi, kwa jinsi hio natumia kanuni ya 152 kuahirisha bunge hadi keshokutwa Alhamis.Bonyeza HAPA kusikiliza sauti.
 

Attachments

Bwana ametoa na ametwaa...lihimidiwe
 
Amefia Rock Hotel, jirani na kituo cha mafuta cha Shabiby.

Alilala vema hakuamka, wahudumu wakaita Polisi wakavunja mlango ndo kukuta kishatangulia mbele ya haki.
 
Kafariki bungeni Dodoma? Mbona inatisha. Tupe taarifa zaidi.
 
Pole kwa familia na pole kwa CCM. RiP mbunge
 
Yeriko ni mzushi sana. Sio mtu wa kumuamini. bunge liko live na halijatoa taarifa yoyote kuhusu hilo
 
Rip mheshimiwa mbunge, poleni wafiwa, poleni wana Ukonga.
 
itakuwa presha ya kupoteza jimbo kwa UKAWA,maana Mwikabe kalikamata jimbo vibaya
 
Back
Top Bottom