Tanzia: Mbunge wa Ukonga, Eugene Mwaiposa afariki dunia

Tanzia: Mbunge wa Ukonga, Eugene Mwaiposa afariki dunia

Poleni sana wafiwa kwa msiba.
 
kila Dakika kila saa kila Siku watu wanakufa iweje uulize mwaka huu kuna nn?? huyu ni mwanadamu kama wengine hivyo inampasa kufa.
 
Kuna tetesi mbunge mmoja amefariki Dodoma akiwa chumbani kwake hoteli ya rock karibu na ukumbi Wa bunge
 
TAARIFA YA NAIBU SPIKA

​
Bunge la jamhuri limepata msiba wa kufiwa na mbunge wa jimbo la Ukonga, alikuwa na tatizo la shinikizo la damu kwa muda mrefu, Amefariki nyumbani kwake hapa Dodoma. Nyumbani kwa marehemu ni eneo la Chaduru opposite na jengo jipya la hoteli ya Shabiby barabara ya Dar es Salaam, Mwili umepelekwa hospitali ya mkoa wa Dodoma kwa uchunguzi zaidi.

Shughuli ya Kuaga itafanyika kesho baada ya familia yake kuwasili hapa Dodoma. Tutatumia mtandao wa simu kuwajulisha taarifa zaidi, kwa jinsi hio natumia kanuni ya 152 kuahirisha bunge hadi keshokutwa Alhamis.Bonyeza HAPA kusikiliza sauti.
 
Faustine ndugule anaongoza jimbo gani maana haya majimbo yanachanganya watu sana.
 
Back
Top Bottom