Tanzia: Mbunge wa Ukonga, Eugene Mwaiposa afariki dunia

Tanzia: Mbunge wa Ukonga, Eugene Mwaiposa afariki dunia

Kifo kinashtua,pumzika kwa amani Eugene Mwaiposa
 
Haezi hasira za watanzania zitamfata huko huko, mungu anisamehe ila Kwa kweli CCM wote wanatakiwa wachomwe moto
Msamehe mkuu huko alikoenda ndy atapata hukumu yake sahihi....
 
Poleni sana wafiwa na Mungu amlaze mahala pema peponi Amen
Namfahamu marehemu ni jirani yetu huyu mama ni mchaga ila anatumia surname ya mumewe Ali Mwaiposa ameacha mume na watoto watatu wa ambao amezaa yeye na alipata ubunge kwa sababu wakazi wa Ukonga hawakuwa na mwamko wa kisiasa kipindi kile over.
 
Humu ndani watu ni wanafiki saana huyu mama si gamba si alishiriki kupitisha katiba uchwara. ..akatutukana watanzania akamtukana warioba pia, mimi Sina cha kusikitika afe tu. ..
Tena kachelewa tena ataenda jehanam.
CCM yeyote akifa mimi siwezi kulia ntamtupa kagera awe chakula cha mamba
Mungu ndiye mtoa hukumu, anaweza mpunzisha ama la ,don't get even na samehe
 
Humu ndani watu ni wanafiki saana huyu mama si gamba si alishiriki kupitisha katiba uchwara. ..akatutukana watanzania akamtukana warioba pia, mimi Sina cha kusikitika afe tu. ..
Tena kachelewa tena ataenda jehanam.
CCM yeyote akifa mimi siwezi kulia ntamtupa kagera awe chakula cha mamba

kATIKA MAPEPO YALIYOKO DUNIANI WEWE NI NO, MOJA,SIASA ZINAKUFANYA KUSHEREKEA KIFO CHA BINADAMU MWENZAKO,MUNGU MUJIBU SAWA NA MAOMBI YAKE HUYU MWANADAMU.
 
kATIKA MAPEPO YALIYOKO DUNIANI WEWE NI NO, MOJA,SIASA ZINAKUFANYA KUSHEREKEA KIFO CHA BINADAMU MWENZAKO,MUNGU MUJIBU SAWA NA MAOMBI YAKE HUYU MWANADAMU.

We ndo pepo na magamba wenzio no wonder mnatembea na mafisi
 
Haezi hasira za watanzania zitamfata huko huko, mungu anisamehe ila Kwa kweli CCM wote wanatakiwa wachomwe moto

Inawezekana wewe ni mchafu kuriko walioko ccm,na kuziilisha ulivyomchafu ni kuwa mtumwa wasiasa zaidi ya uhai wa binadamu mwenzio na kushangilia kifo tu,hakuma msamaha waaina hiyo kwa mungu, mfn unaua makusubi?
 
Ukweli utasemwa ,haitabadilisha kitu kama ni jehanamu keshaenda hata umfanyie ibada Mia. ..so njoo kwa pozi
 
Alipata lini ubunge hapo Ukonga? mi namjua Makongoro Mahanga!

Yaani ufuasi wako na mbwembwe zote za kiCCM hapa jamvini hata wabunge na majimbo ya uchaguzi huyajui...!!!

Utakua unaishi Mbwinde wewe maana ndio mnapenda kufurukutwa na CCM...

Dar kuna jimbo la Segerea na Ukonga na ni majimbo tofauti...
 
mungu ndiye mtoa hukumu, anaweza mpunzisha ama la ,don't get even na samehe

mkuu unamjibu kwa kumbembeleza nini mjianga huyu angekuwa mamayake angeshangilia? Mwendawazimu huyo.
 
Pumzika kwa amani Mama...nimemsikia naibu spika akisema marehemu amefia nyumbabi kwake hapo dodoma lakini ni mbunge wa ukonga!kuna haja sasa kila mbunge aishi kwa wapiga kura wake sasa hata samuel sitta mbunge wa urambo lakini hakai na anaowawakilisha huko urambo na huwezi jua hili mpaka afe!utakuja sikia tu msiba upo nyumbani kwake Masaki estate!bora hili lije kurekebishwa wapo wengi tu akina Rage mbunge wa Tabora mjini lakini maisha yake yote anaishi city centre jirani na jengo la kitega uchumi,Spika wa bunge nae anaishi kijitonyama..lakini anawakilisha watu wa iringa vijijini makete huko,kumbe huko ndio alistahili kuishi akitoka anaenda dodoma na kurudi jimboni,hivyo hivyo kwa Membe alitakiwa akae Mtama huko>nafasi ya uwaziri anashika mtu mwingine aliye huru.
 
Back
Top Bottom