Tanzia: Mbunge wa Ukonga, Eugene Mwaiposa afariki dunia

Tanzia: Mbunge wa Ukonga, Eugene Mwaiposa afariki dunia

Tuamini tu kwamba sio salaam za Magamba. maana magamba nayo wana mambo
 
Loh, poleni sana wafiwa.
Na poleni sana ccm, bahati mbaya Mwenyekiti nimesikia jana kuwa yuko safari ya nchi tatu Ulaya.
 
Sad news. Mungu awatie nguvu na kuwafariji wafiwa. Poleni sana wafiwa.

Vv
 
Tangulia kwa amani Mama, ila dah jimbo limepunguziwa mzigo. Pole sana kwa familia

Duh halafu Jana tu kuna sehemu walikuwa wanamuongelea,kuwa anajenga bonge la ghorofa/hotel
 
Hivi kumbe waweza kuwa na nyumba chadulu hapo hapo Dom na bado ukaenda kulala hotelini? RIP .

Si unabadili mazingira? au huenda alifanya fumigation kwake? acheni mambo yenu
 
Back
Top Bottom