Tanzia: Mbunge wa Ukonga, Eugene Mwaiposa afariki dunia

Tanzia: Mbunge wa Ukonga, Eugene Mwaiposa afariki dunia

Ukweli utasemwa ,haitabadilisha kitu kama ni jehanamu keshaenda hata umfanyie ibada Mia. ..so njoo kwa pozi

Jehanamu umejuaje wewe ni mungu? unafanya hivyo ukijua humu kuna watoto wake ,mdugu zake.angekuwa mzazi wako? hata kama ni ushabiki na utumwa na wanasiasa sio kwa kiwango hicho.
 
Wewe sio tu mwendawazimu Bali ni.mnafiki hata uongee kwa huruma hafufuki

unafiki wa nini ? ubinadamu bac,angakia coment za wezako wote ndo utajiona ulivyo wa ajabu haijawaitokea duniani.
 
Pumzika kwa amaini Mama Eguene Mwaiposa, huyu mama ni majirani na mumewe ni rafiki mkubwa wa mdogo wangu. Nimepokea habari za msiba huu leo alfajiri kusema kweli inasikitisha sana..
 
Pumzika kwa amaini Mama Eguene Mwaiposa, huyu mama ni majirani na mumewe ni rafiki mkubwa wa mdogo wangu. Nimepokea habari za msiba huu leo alfajiri kusema kweli inasikitisha sana..

Marehemu ana nyumba dodoma lakini kwa nini afie gesti? WFiwa nipeni majibu kabla sijawapa pole..
 
Marehemu ana nyumba dodoma lakini kwa nini afie gesti? WFiwa nipeni majibu kabla sijawapa pole..
Sio kweli maana habari hii nimeipata Asubuhi kama saa 6 ya huko wakati walipokwenda chumbani na kugundua mbunge amefariki, Mdogo wangu na mume wa marehemu Ally Mwaiposa walikuwepo nyumbani..Usiamini magazeti ya mipasho.
 
Dah wanakufa wazima wagonjwa bado wanadunda cc nywele nyeupe.
 
Wameanza kuuana nano alitangaza kumrithi anzen.nae
 
Nyumna xa dodoma wanakodi machangu mpwa chek na acc yamama kablaya kulalama kuna wapangaji wanahama. Kabsa wanakulachao bungelikiisha wanarudi
 
Mbunge wangu Mwaiposa upumzike kwa amani,ila ulitutesa sana watu wako wa kivule..........Mungu awape faraja familia yote.
 
Mpwa babazetu wadogonao.sio sasa si angemwonyesha hm tu hatakama anahamuya kulipakahooteeriii angemkabdhii.mamaa kaaafwedhaaa ata kamsaidiee hukoo sasaa sijuii anafanyaa kampenii ganii uko rip.mama
 
Back
Top Bottom