Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
Mwanajukwaa mwenzetu Josephat Issango amefiwa na baba yake mzazi usiku wa jana majira ya saa tatu.
Kwenye simu yangu ya kiganjani alinitumia ujumbe huu.
"NASIKITIKA KUKUARIFU KIFO CHA BABA YANGU MZAZI. MZEE JOSEPH NG'IMBA KIMETOKEA SAA 3:30 USIKU NYUMBANI KISASIDA - SINGIDA. TAARIFA ZAIDI KESHO. - ISANGO"
Mwenyezi Mungu aijalie familia ya Issango uvumilivu na subra katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza baba yao.
Poleni wafiwa, poleni mlioguswa, pole Issango.