nyampanaga
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,104
- 559
Rip na pole sana mkuu isango
Umetumwa na waume zako kuleta siasa hapa!
Hapa ni taarifa ya kifo tu,na kinachotakiwa ni ama kutoa pole au mchango wako kama unao kwa mhusika omba mawasiliano yaje utume Mpesa,Airtel Money ama Tigo pesa utakuwa umesaidia sana.
Kama unataka kutujulisha namna walivyoshughulikiana na Zitto basi anzisha Thread nyingine utapata tu sapoti!
Jitambue!