Tanzia: Josephat Issango afiwa na baba yake.

Kamanda Josephat Issango ni miongoni mwa wahanga wa Zitto, mwaka 2010 aligombea ubunge Singida mjini, kwa kuwa rafiki wa Zitto (Mohamedi Dewji) alikuwa naye anagombea na akaogopa nguvu ya Chadema; kama kawaida Zitto akafanya usaliti kwa chama, akaandika barua kwa msimamizi wa uchaguzi kumuondoa Issango kwa kisingizio kuwa hajapitishwa na kamati kuu, maana yake ni kwamba ili MO apite bila kupingwa.

Baada ya chama kuarifiwa kamanda TL pamoja na wanasheria wengine walienda kushindia hiyo kesi Tume baada ya kukata rufaa. Rufaa ilikubaliwa wiki moja kabla ya uchaguzi.

Mchezo mzima wa kumtoa Issango ili asigombee ulifanywa na Zitto akishirikiana na mzee Kitundu yule aliyekuwa mwemyekiti wa Singida mjini aliyejiuzuru baada ya Zitto kuvuliwa nyadhifa zake.

Pole sana Isango, Mungu ampe raha ya milele baba yetu.Lakini 2015 rudia bahati yako tafadhali wewe ni chaguo sahihi la wanasingida.
 
Kamanda Josephat Issango ni miongoni mwa wahanga wa Zitto, mwaka 2010 aligombea ubunge Singida mjini, kwa kuwa rafiki wa Zitto (Mohamedi Dewji) alikuwa naye anagombea na akaogopa nguvu ya Chadema; kama kawaida Zitto akafanya usaliti kwa chama, akaandika barua kwa msimamizi wa ucaguzi kumuondoa Issango kwa kisingizio kuwa hajapitishwa na kamati kuu, maana yake ni kwamba ili MO apite bila kupingwa.

Baada ya chama kuarifiwa kamanda TL pamoja na wanasheria wengine walienda kushindia hiyo kesi Tume baada ya kukata rufaa. Rufaa ilikubaliwa wiki moja kabla ya uchaguzi.

Mchezo mzima wa kumtoa Issango ili asigombee ulifanywa na Zitto akishirikiana na mzee Kitundu yule aliyekuwa mwemyekiti wa Singida mjini aliyejiuzuru baada ya Zitto kuvuliwa nyadhifa zake.

Umetumwa na waume zako kuleta siasa hapa!

Hapa ni taarifa ya kifo tu,na kinachotakiwa ni ama kutoa pole au mchango wako kama unao kwa mhusika omba mawasiliano yaje utume Mpesa,Airtel Money ama Tigo pesa utakuwa umesaidia sana.

Kama unataka kutujulisha namna walivyoshughulikiana na Zitto basi anzisha Thread nyingine utapata tu sapoti!

Jitambue!
 
Mwanajukwaa mwenzetu Josephat Issango amefiwa na baba yake mzazi usiku wa jana majira ya saa tatu.

Kwenye simu yangu ya kiganjani alinitumia ujumbe huu.

"NASIKITIKA KUKUARIFU KIFO CHA BABA YANGU MZAZI. MZEE JOSEPH NG'IMBA KIMETOKEA SAA 3:30 USIKU NYUMBANI KISASIDA - SINGIDA. TAARIFA ZAIDI KESHO. - ISANGO"

Mwenyezi Mungu aijalie familia ya Issango uvumilivu na subra katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza baba yao.

Poleni wafiwa, poleni mlioguswa, pole Issango.

Pole sana Issango.
 
Ndugu Josephat pole sana kwa msiba mkubwa. Mungu amuweke marehemu pema.
 
Pole sana mkuu, hivi hakunaga kautaratibu kakutoa ata rambirambi kwa member wenzetu katika madhira kama haya ata kwa mpesa au tigopesa

Lukosi akatutoa imani baada ya kuzichanga akajifariji nazo badala ya wahusika wakuu watu hawana hamu
 
Kamanda Josephat Issango ni miongoni mwa wahanga wa Zitto, mwaka 2010 aligombea ubunge Singida mjini, kwa kuwa rafiki wa Zitto (Mohamedi Dewji) alikuwa naye anagombea na akaogopa nguvu ya Chadema; kama kawaida Zitto akafanya usaliti kwa chama, akaandika barua kwa msimamizi wa uchaguzi kumuondoa Issango kwa kisingizio kuwa hajapitishwa na kamati kuu, maana yake ni kwamba ili MO apite bila kupingwa.

Baada ya chama kuarifiwa kamanda TL pamoja na wanasheria wengine walienda kushindia hiyo kesi Tume baada ya kukata rufaa. Rufaa ilikubaliwa wiki moja kabla ya uchaguzi.

Mchezo mzima wa kumtoa Issango ili asigombee ulifanywa na Zitto akishirikiana na mzee Kitundu yule aliyekuwa mwemyekiti wa Singida mjini aliyejiuzuru baada ya Zitto kuvuliwa nyadhifa zake.

Ondoa uzombi wako hapa we kenge,suala hapa nikutoa pole sio siasa.poleni sana wafiwa!!
 
poleni wafiwa.. Mungu amlaze baba pema peponi
 
Pole sana mpiganaji,tupo pamoja ktk kipindi hiki kigumu!
 
May his soul rast in eternal peace.
Pole sana wanafamilia.
 
RIP Dad,

Poleni wafiwa, Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe.

Amen.
 
Kamanda Josephat Issango ni miongoni mwa wahanga wa Zitto, mwaka 2010 aligombea ubunge Singida mjini, kwa kuwa rafiki wa Zitto (Mohamedi Dewji) alikuwa naye anagombea na akaogopa nguvu ya Chadema; kama kawaida Zitto akafanya usaliti kwa chama, akaandika barua kwa msimamizi wa uchaguzi kumuondoa Issango kwa kisingizio kuwa hajapitishwa na kamati kuu, maana yake ni kwamba ili MO apite bila kupingwa.

Baada ya chama kuarifiwa kamanda TL pamoja na wanasheria wengine walienda kushindia hiyo kesi Tume baada ya kukata rufaa. Rufaa ilikubaliwa wiki moja kabla ya uchaguzi.

Mchezo mzima wa kumtoa Issango ili asigombee ulifanywa na Zitto akishirikiana na mzee Kitundu yule aliyekuwa mwemyekiti wa Singida mjini aliyejiuzuru baada ya Zitto kuvuliwa nyadhifa zake.

oooho poleni sana
 
Back
Top Bottom