TANZIA: JF Rock City Wing

poleni wafiwa!! Mungu amlaze pema bibi yetu!!
 
pole sana ndugu ram... kudra za mungu huja katika sura tofauti, la muhimu ni kumuombea mungu, RIP ..nimekuPM plz respond
 
Last edited by a moderator:

Ooooh.... pole sana kwa kumpoteza somo yako! Mungu akutangulie katika safari!
 
Ahsante sana, nimekujibu tayari
pole sana ndugu
ram... kudra za mungu huja katika sura tofauti,
la muhimu ni kumuombea mungu, RIP ..nimekuPM plz respond
 
Last edited by a moderator:
Pole ram kazi ya Mungu haina makosa
 
Hivi ram ni mtu wa Singida eeh? :yo:
Poleni wafiwa....
 
Last edited by a moderator:
Reactions: ram
Pole sana member mwenzetu kwa msiba mwingine kukupata just within two weeks, Mola muweza akupeni nguvu na ustahimilivu kipindi chote cha simanzi.

Asante sana charminglady kwa coordination hii, nakushukuru sana.

Poleni members wote wa Rock City Wing kwa huzuni nyingine, tumfariji mwenzetu kwa hali na chochote.

Pole sana ram.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ndugu ram. Mungu akupe nguvu
 
Reactions: ram
Ina LiLLaah Waina iLayhi Rajiun "POLE " sister ram Mwenyeezzi Mungu akupe subira na uvumilivu wa kuhimili msiba huu,
Na Mlaze peponi marehem bibi.... hii njia yetu sote WHO KNOWS TOMORROW nani atatangulia....
 
Reactions: ram
Mungu awape faraja wafiwa wote! Poleni sana.
 
Reactions: ram

ni masikitiko yangu kuwa kwa sasa nipo shinyanga na ninaumwa typhoid bila shaka ningekuwa mstari wa mbele kabisa kuhakikisha natoa ushirikiano kwa mwenzetu. charminglady pamoja sana mkuu wangu.pia natoa pole kwa wafiwa akiwemo ram
 
Last edited by a moderator:
Pole Sana Ram! mungu akutie nguvu ktk kipindi chote cha msiba!
 
Reactions: ram
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…