Ahsante Preta na wengine wote, Mungu awabariki sana. Imempendeza Mungu kuvuna shambani mwake tena, so hatuna budi kumshukuru yeye apangaye kila kitu. Tunatarajia kumpumzisha mpendwa wetu, dadangu na wajina wangu siku ya jumatano, ahsanteni na Mungu awabariki wote
[FONT=comic
sans ms]Pole sana ram......hivi si ni juzi tena
tulikupa pole nyingine.......?......mtumainie Mungu kwa sababu ana kila
kusudi katika kila jambo.........