Tanzia: Ezekiel Malongo wa TBC afariki dunia

Tanzia: Ezekiel Malongo wa TBC afariki dunia

Ndivyo maisha yalivyo, hatima yake ni kifo. Lakini kwa kweli hatuwezi kuzoea kifo, tunabaki kuhuzunika kwa wanaotutangulia. "Tulitoka kwa udongo, tutarudi kwa udongo", namkumbuka Dr. Remmy hapa. Nenda jembe Ezekiel, Mundu na akufanyie wepesi katika safari yako hii ya mwisho, roho yako ipumzike kwa amani. R.I.P.
 
Jaman sio wote huangalia tv ccm, kwa hiyo ukileta taarifa weka picha
 
Aisee!! Malongo tena?

Hivi jamani pale TBC kuna nini????




Anyway pumzika kwa amani Ezekiel.

Dah!!!!!!!!!

Kuuliza TBC Kuna Nini Ni Sawa Na Kuuliza Labaratory Kuna Nini Wakati Unajua Fika Kuwa Huko Siku Zote Kunapatikana Bacteria. Kinachoniliza Kwa Comrade Ezekiel Malongo Ni Kwamba Alikuwa Ni Mwana Simba Sports Club Tena ALIYETUKUKA. Tatizo La Hapo TBC Wafanyakazi Wanapenda Mno Kupiga " U Turn " Wao Kwa Wao!
 
kuna haja AMREF wakaenda pale TBC kufanya utafiti ..haiwezekani watu wanakufa hivi kama panya wamewekewa sumu.. Pumzika wewe Ezekiel Chibulunje Malongo

Sasa Umeshasema AMREF Waende Hapo TBC Sasa Kuna Haja Tena Ya Labda Sisi Kuanza Tena Kuhojihoji Kwanini Wanapukutika Tu?
 
Apumzike kwa amani,nakumbuka alipokuwa akitangaza mpira dah ana midadi ile nouma
 
Tupieni na picha ...RIP Ezek...ila kwa kipindi kisichozidi miez 2, watangazi 3 wameondoka pale TBC....kazi ya Mola

Na Ndiyo Maana Kumbe Ndani Ya Mwezi TBC Wametangaza Mno Nafasi Za Kazi Na Walikuwa Wanazirudiarudia Kumbe Walishasoma Alama Za Nyakati Kwa Akina Dyauli, Malongo Na Pengine Wengineo Watakaofuata Na Kama Nawaona Vile Marafiki Zangu 6 Walio Hapo 3 KIUMENI Na 3 KIKENI Sasa Matumbo Yao Yanavyotetemeka. Kumbe Nimeshajua Ni Kwanini Watu Wanapakimbia Kufanya Kazi Hapo Japo Kuna Mshahara Mzuri Tu, Bonuses Na Privileges Zingine Kwani Wanaogopa Mchezo Wao Ule Wa " U - Turn " Uliozoeleka Hapo Shirikani.
 
wekeni picha basi engine hatumfahamu

Umeshaambiwa Alikuwa Ni Mlevi Sasa Unataka Umfahamu Wa Nini Tena? Vuta Tu Picha Ya Mlevi Anavyokuwa Kisha Utaipata Taswira Ya Comrade Wetu. R.I.P Comrade!
 
Daima Tutaendelea Kuikumbuka Namna Ya Utangazaji Wa Michezo Uliyokuwa Nayo,miaka Hiyo Ya 2000 Radio Mkulima Haikubanduka Mikononi Hususani Kipindi Cha Michezo,mtiririko Wa Sauti Yako Ilikuwa Appetiter Tosha Ktk Masikio Yetu. R.I.P E.MALONGO.
 
R.I.P Ezeqiel Andrew Malongo!
Kila aliyezaliwa na mwanamke ataonja umauti.
 
Back
Top Bottom