Tanzia: Ezekiel Malongo wa TBC afariki dunia

Tanzia: Ezekiel Malongo wa TBC afariki dunia

R.i.p Malongo na pole kwa wafiwa Mwenyezi awatangulie katika kipindi hiki kigumu.


nb: mwenye picha plz
 
kuna haja AMREF wakaenda pale TBC kufanya utafiti ..haiwezekani watu wanakufa hivi kama panya wamewekewa sumu.. Pumzika wewe Ezekiel Chibulunje Malongo
 
Rip.
Msiulize Tbc kuna nini. Ni kwasababu kile ni chombo cha habari hivyo kila member wao anaefariki lazima atangazwe. Wengi wanafariki TRA,TANESCO,Mawizarani nk lakini hamuwasikii sababu hawatangazwi. Simple idea!
 
Poleni wafiwa..Mungu awape moyo wa subira ktk kipindi hiki kigumu.
 
Niliwahi kukutana naye mwaka jana, hata sikufikiria kumweka kwenye kundi la watu mashuhuri hata kwa ngazi ya mtaa. Tulikuwa tunapiga soga za siasa, kuna vitu sensitve aliviongea nikashtuka, alipoondoka nikawauliza wenzangu huyu nani, nilipoambiwa ni Ezekiel Mwalongo, sikuishia kushangaa bali pia nilihuzunishwa uchakavu aliokuwa nao, wanaomfahamu wakaongeza kuwa jamaa anapiga viroba hatari na ndio vilivyomchakaza. Mengine siyajui. so sad. R.I.P.
 
Nawapo pole familia yake na wote wanaoguswa na msiba huo.
 
M.d.u.d.u. at work .! Kuna kipindi ilitokea hivi hivi tena hapo hapo .! Mzunguko wa humo kwa humo kama mswaki ndo tatizo.!
mzunguko wa humohumo kama mshwaki! kweli wengi watasafishwa...
 
TBC mnatakiwa mjitathin upya yale mnayotangaza au viongozi mnaowashabikia hawajawahi kusababisha umaskini na vifo kwa wasio na hatia na maskini wanaokosa hata hela ya kununulia piritoni.

Vinginevyo wote mtapukutika.
 
Tupieni na picha ...RIP Ezek...ila kwa kipindi kisichozidi miez 2, watangazi 3 wameondoka pale TBC....kazi ya Mola
 
Mbele yako, Nyuma yako. Pumzika kwa amani kaka Malongo (PKA)
 
Back
Top Bottom