Tanzia: Ezekiel Malongo wa TBC afariki dunia

Tanzia: Ezekiel Malongo wa TBC afariki dunia

The first mchambuzi na mtangazaji wa michezo aliyenivutia kuanza kupenda mpira RIP Broda , nyuma yako mbele yetu.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Poleni familia ya marehemu na wote waliohuzunishwa na msiba huu..Mungu ampe pumziko la amani!
 
  • Thanks
Reactions: MTK
RIP MR. EZEKIEL MALONGO

WIKI TU ULITUTEMBELEA MWENGE-DAR.

LEO UMETUTOKA, VERY SAD

BQ CONTRACTORS LIMITED - TUTAKUKUMBUKA DAIMA

May your Soul Rest In Peace
 
Duh alazwe pema Ezekiel Malongo alinifanya nishinde na radio shamba kumsikiliza akitangaza kombe la Dunia. Sitasahau aliyokua unamuita kwa madoido Manywele wa Uturuki..!
 
R. I. P Ezekiel, ulipendezesha mpira wa radioni, na ulivutia kusikiliza.
 
Nadhani kuna kalaana fulani kwa hii generation. Mtu anayekufa huombewa. Full stop. Sijui alikuwa hivi alikuwa vile inasaidia nini? Mbona hamsemi yenu? Mko ok kila jambo?
 
Jamani jamani, flora hata mwezi hajamaliza, Ezekiel tena... RIP Ezekiel
 
Back
Top Bottom