ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 8,681
- 16,281
Duuh! mleta uzi nae,aisee.Duniani tu wasafiri kwakweli. Mleta Uzi nae alishatangulia kumbe.
Duuh! mleta uzi nae,aisee.Duniani tu wasafiri kwakweli. Mleta Uzi nae alishatangulia kumbe.
Mwenye hii ID namfahamu alikuwaga DSO sehemu sasa yupo kwenye kikosi cha ulinzi cha mama Abdul😁😁Ni huzuni sana kwa tasnia ya habari hapa Tz na TBC kwa ujumla!!! R.I.P
Mandla.
Mbona hapo wamemuwekea R.I.PMwenye hii ID namfahamu alikuwaga DSO sehemu sasa yupo kwenye kikosi cha ulinzi cha mama Abdul😁😁
Wamemuwekea Mandla Jr au nani?Mbona hapo wamemuwekea R.I.P
Original Poster mapengoWamemuwekea Mandla Jr au nani?