Tanzia: Ezekiel Malongo wa TBC afariki dunia

Tanzia: Ezekiel Malongo wa TBC afariki dunia

Ndo huyu alikuwa akitangaza mpira vizuri sana? R. I. P mr Malongo
 
Unaharaka ya wapi? Unashindwa kutuwekea hata picha, wengine hatumujui
 
Niliwahi kukutana naye mwaka jana, hata sikufikiria kumweka kwenye kundi la watu mashuhuri hata kwa ngazi ya mtaa. Tulikuwa tunapiga soga za siasa, kuna vitu sensitve aliviongea nikashtuka, alipoondoka nikawauliza wenzangu huyu nani, nilipoambiwa ni Ezekiel Mwalongo, sikuishia kushangaa bali pia nilihuzunishwa uchakavu aliokuwa nao, wanaomfahamu wakaongeza kuwa jamaa anapiga viroba hatari na ndio vilivyomchakaza. Mengine siyajui. so sad. R.I.P.
Niliambiwa hata gogo alikua anakunywa sana tu
 
Maisha ya mwanadamu ni sawa na maua 😔.
safari njema mwanahabari mwenza.
 
Ndo najua leo kuqa jamaa alifariki! Aisee apumzike mahali pema maana tulifaidi mno ufundi wake kwenye utangazaji wa mechi za mpira wa miguu na vipindi vya michezo.
 
M.d.u.d.u. at work .! Kuna kipindi ilitokea hivi hivi tena hapo hapo .! Mzunguko wa humo kwa humo kama mswaki ndo tatizo.!
Hii nayo ukute inachangia,unakuta staff ni mgonjwa ila anagawa kinoma,mnamoitia wite,mkianza kudondoka ni mmojammoja.
 
Back
Top Bottom