Tanzia: Ezekiel Malongo wa TBC afariki dunia

Tanzia: Ezekiel Malongo wa TBC afariki dunia

Nakukumbuka pale Royal college of journalism urafiki baada ya kupata lecture mizinga ya konyagi inahusika, dah maisha yana mengi tangulia mkuu njia yetu sote!
 
TBC mnatakiwa mjitathin upya yale mnayotangaza au viongozi mnaowashabikia hawajawahi kusababisha umaskini na vifo kwa wasio na hatia na maskini wanaokosa hata hela ya kununulia piritoni.

Vinginevyo wote mtapukutika.

Wewe hutokufa?
 
niliwahi kukutana naye mwaka jana, hata sikufikiria kumweka kwenye kundi la watu mashuhuri hata kwa ngazi ya mtaa. Tulikuwa tunapiga soga za siasa, kuna vitu sensitve aliviongea nikashtuka, alipoondoka nikawauliza wenzangu huyu nani, nilipoambiwa ni ezekiel mwalongo, sikuishia kushangaa bali pia nilihuzunishwa uchakavu aliokuwa nao, wanaomfahamu wakaongeza kuwa jamaa anapiga viroba hatari na ndio vilivyomchakaza. Mengine siyajui. So sad. R.i.p.

kwahiyo ni viroba sio
 
kuna haja amref wakaenda pale tbc kufanya utafiti ..haiwezekani watu wanakufa hivi kama panya wamewekewa sumu.. Pumzika wewe ezekiel chibulunje malongo

i see hii sentensi.ya.mwisho ndo inahusika hizi nyingine mmmmm
 
...na huyo nae waseme alikuwa na habari kubwa anaifatilia, kafa kifo tatanishi!! watu bwana
 
Rip.
Msiulize Tbc kuna nini. Ni kwasababu kile ni chombo cha habari hivyo kila member wao anaefariki lazima atangazwe. Wengi wanafariki TRA,TANESCO,Mawizarani nk lakini hamuwasikii sababu hawatangazwi. Simple idea!

Your a genious man
 
Ezekiel Malongo is no more... amefariki katika Hospital ya Mwananyamala usiku wa leo kwa Malaria... Nimepokea ujumbe wa Message kutoka kwa staff mwenzie wa TBC FM.
Kuweka records sawa ni kwamba...

Ezekiel Malongo aliacha/alifukuzwa kazi TBC zaidi ya miaka mitano iliyopita...

Na baada ya kuachishwa kazi TBC ni kama alipoteza muelekeo..Hajawahi kusikika tena...

So ni vema heading ingekuwa 'Aliyekuwa/aliyewahi kuwa Mtangazaji wa TBC EZEKIEL MALONGO' afariki dunia.
 
Apumzike mahali pema,
Mwenye picha bandugu
 
Kuweka records sawa ni kwamba...

Ezekiel Malongo aliacha/alifukuzwa kazi TBC zaidi ya miaka mitano iliyopita...

Na baada ya kuachishwa kazi TBC ni kama alipoteza muelekeo..Hajawahi kusikika tena...

So ni vema heading ingekuwa 'Aliyekuwa/aliyewahi kuwa Mtangazaji wa TBC EZEKIEL MALONGO' afariki dunia.

kukuweka wewe sawa ni kwamba. Baada ya kutoka Rtd alikwenda Sahara media
 
R.I.P Ezekieli Malongo

Poleni familia na wote mlioguswa na msiba. Mungu awape faraja kuu wakati huu mgumu.
 
Back
Top Bottom