R.I.P MAREHEM
haya magari ya automatic mm nayachukia na nitaendelea kuyachukia sana aisee..yanawaua sana vijana ambao ndio nguvu kazi ya taifa letu.
pole sana kwa mke wa marehemu Sia Njau pamoja na mtoto Stecy. Mungu peke ya ke ndiye faraja yenu kwa wakati huu mgumu, Mungu awe pamoja nanyi.