Du hali inatisha sana, alipokufa dogo Fred a week before his wedding,mengi yalisemwa...baada ya hapo Mama wa watu akavamiwa na majambazi na akaibiwa mamilioni na vitu vingi sana vya thamani..three weeks ago Salva alipata ajali mbaya ya gari...haijapita muda first borm anaondoka kama hivi...jamani kama ni majaribu huyu Mama Mlay kayapitia. Nilikaa nikawaza maybe kuna kitu lakini sipati jibu ni kitu gani..any way kazi ya Mungu haina makosa.
RIP Hommie. cc
RIP Hommie. cc