lugendosisty
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 219
- 103
Inauma lakini yatupasa kuyapokea yote ili ukamilifu wa uanadamu utimie. Tunajaribu kuhoji uhalali wa kifo na sababu za au iwapo kuna uzembe uliofanywa na kijana mwenzetu. Mhimu ni kuwa yametimia ,Fred hatunae tena na uchapakazi wa kutukuka uenziwe na nasi sote. Pole kwa family na watanzania wote,pole kwa vijana kwa wazee ambae kupitia kwake walipata fursa za ajira na kujikomboa kutoka katika lind la umasikini. Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie,apumzike.
Amina
Amina