bucho
JF-Expert Member
- Jul 13, 2010
- 5,172
- 3,265
Taarifa nilizozipata muda sio mrefu, aliekuwa katibu wa chama cha wasafirishaji na wapokeaya mizigo Tanzania. Ndg Edwin Michael Mlay amefariki dunia kwa ajali ya gari iliotokea leo jioni Marangu Kilmanjaro. Edwin alikuwa kijana mchapakazi mchapakazi na mtaratibu mnoo.
Nb.
Msiba upo nyumbani kwao kimandolu Arusha.
Nb.
Msiba upo nyumbani kwao kimandolu Arusha.