Tanzia: Dark City amefiwa na mama yake

Tanzia: Dark City amefiwa na mama yake

Inalilillah wainaillaih rajiun

Pole sana Dark City

Mungu amlaze mahali pema peponi mama
 
Last edited by a moderator:
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi naye hujaa taabu, yeye huchanua kama vile ua kisha ukatwa, hukimbia kama kivuli wala hakai kamwe.
 
Ina lilahi waina ilaihi rajiuni!Pole sana mkuu Dark City.Allah akupe wepesi katika kipindi hiki kigumu.
 
Last edited by a moderator:
Mungu akutie nguvu DC
Raha ya Milele ummpe mama yetu Ee Bwana; apumzike kwa amani. Amina
 
Back
Top Bottom