Tanzia: Dark City amefiwa na mama yake

Tanzia: Dark City amefiwa na mama yake

Mungu awape nguvu wafiwa na ampe marhum mapumziko mema

Pole sana good friend Dark City
 
Last edited by a moderator:
Ni habari ya kusikitisha, mwenzetu amefiwa na mama yake mzazi leo. Mipango ya mazishi inafanyika,. Tumwombee mama apumzike kwa amani.

Tunashukuru kwa taarifa mkuu, Pole zangu ziwafikie wote walioguswa na huu msiba.
 
pole sana Mwenyezimungu ailaze Roho ya marehemu mahala pema peponi...AMINA
 
Pole mkuu Dark City Mungu mwenyezi awape faraja katika kipindi hiki kigumu kwa familia yako.
 
Last edited by a moderator:
Faraja ya Bwana iwe nawe Dark City katika kipindi hiki cha majonzi amen!
 
Last edited by a moderator:
Natambua kuwa mkuu Dark city ni mtu wa Tanga msiba uko wapi exactly tushiriki mazishi?
 
Sisi ni wa mwenyezi mungu na lazima kwake tutareje usisahau kuwa hiyo ni ahadi ya Allah Kwa waja na kwa kututoa wasiwasi juu ya hilo akasema hivi; kila nafsi lazima itakufa hapa ndipo akatutaka tukeshe tukiomba maana hatujui siku wala saa na kwa kufiwa ni ibada katika imani ni ibada inayo kukumbusha kuwa karibu na mungu ili ufe hali yakuwa u salama unapo mlilia mwenzako kwamba kafikwa na umauti unampa wakati mgumu kwa mungu maana hujui alikufa katika hali gani mimi nashauri na si ushauri zaidi ni pendekezo naomba tumuombee mwenzetu aliye fikwa na umauti mungu ampunguzie kama si kufuta kabisa dhambi zake na awe miongoni mwa waja wa Allah wenye furaha mpaka siku ya kiama inshaallah Dark City, naungana na wewe katika kumtakia mja wa Allah safari njema na pingana na wewe katika kulia katika ibada ya kipindi hiki kigumu kwa kila mwanadamu wabilalh tawfiq wah al hamd
 
Na tukumbuke kwa radhi ya mwana ipo Kwa mama inshaallah tumuombee mama Kwa m/ mungu aondokane na adhabu ya kaburi na pawe mahali takatifu Kwa safari ya kusubiri siku ya ammal (kiama) rabbanna taqabal duwah!!
 
Back
Top Bottom