Tanzia: Dark City amefiwa na mama yake

Tanzia: Dark City amefiwa na mama yake

Ni habari ya kusikitisha, mwenzetu amefiwa na mama yake mzazi leo. Mipango ya mazishi inafanyika,. Tumwombee mama apumzike kwa amani.

Poleni sana jamani . DARKCITY Mungu akupe moyo wa subira na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ndugu...Mungu awe nawe katika kipindi hiki kigumu

Mama apumzike kwa amani
 
Pole sana bab yangu Dark City
Mungu aendelee kukupa faraja ya kweli.
Rest In Peace mama
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom