Tanzia: Dark City amefiwa na mama yake

Tanzia: Dark City amefiwa na mama yake

Pole sana babu DARKCITY na familia. Mwenyenzi Mungu awafanyie wepesi kwenye kipindi hichi kigumu.

Mungu amlaze mahali pema peponi.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana dia kwa msiba mzito, Mungu akupe faraja ya kipekee katika kipindi hiki kigumu maishani mwako. Pole sana
 
inna lillahi wainna ilayhi raajiuun pole sana Allah akupe subra na nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana DC..Mwenyezi Mungu awape wepesi na marehemu apumzishwe kwa amani.
 
pole sana mkuu dark city kwa kufiwa na mama yetu mpendwa mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali Pema peponi
 
Dark City......pole sana Kamanda, Mungu akutie nguvu katika kipindi hii kigumu.
 
Back
Top Bottom