Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,215
- 54,549
Apumzike kwa amani
Wafiwa wawe na subira,katika kipindi hiki kigumu.Ni habari ya kusikitisha, mwenzetu amefiwa na mama yake mzazi leo. Mipango ya mazishi inafanyika,. Tumwombee mama apumzike kwa amani.
Ni habari mshtuko kwakweli.
Mzima best?
Ni habari ya kusikitisha, mwenzetu amefiwa na mama yake mzazi leo. Mipango ya mazishi inafanyika,. Tumwombee mama apumzike kwa amani.
Inahuzunisha...
Mzima kabisa bila shaka nawe pia...