Tanzia: Dark City amefiwa na mama yake

Tanzia: Dark City amefiwa na mama yake

Naam, inasikitisha. Kuondokewa kugumu, hasa na mtu wako wa karibu na muhimu. Pole kwake, Mwenyezi Mungu amtie nguvu pamoja na familia katika kipindi hiki.
 
Back
Top Bottom