Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,455
R I P bilionea....
Mabilionea wa arusha tunakwisha...daah!!
Ha ha kweli mabilionea mnakwisha. Anaefuata sasa ni bilionea Transcends
R I P bilionea....
Mabilionea wa arusha tunakwisha...daah!!
Aisee Kuna jamaa wawili wanarushiana za uso hapo juu jebu jaribuni kuokoa jahazi.kifo cha bilionea kimeleta mtafaruku.
Aisee Kuna jamaa wawili wanarushiana za uso hapo juu jebu jaribuni kuokoa jahazi.kifo cha bilionea kimeleta mtafaruku.
Hivi Arusha kila mtu ni billionaire?
akifiwa sijui wanamuitaje mpwaArusha kila mfanya biashara akifa anaitwa 'bilionea'.
shem pasco una.mambo na wenye dola zao wanaitwajeWabhejha shemeji
Aisee Kuna jamaa wawili wanarushiana za uso hapo juu jebu jaribuni kuokoa jahazi.kifo cha bilionea kimeleta mtafaruku.
Huyu muuza supu si bilionea hata kidogo.
Watani wa.marehemu hao ushaona utani wa kiingereza msibani hii.ndio jfHahaha mazee mwiteni modi aamurie hii mutu itauana...
Ha ha kweli mabilionea mnakwisha. Anaefuata sasa ni bilionea Transcends
Kweli huyu ni muuza supu si billionaire.rip kocha kimory
Nyie acheni kutubeza.......tumefiwa mjue........
halafu we Pdidy.........mtuwacheeeeeeee............
akifiwa sijui wanamuitaje mpwa
Arusha hahaaa mkojuu
Blsd sunday