UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,693
- 12,326
Hahaahahhhaha nimecheka bila kupenda usiku wote huu..
Mkuu furahi tu siku ziongezeke
Hahaahahhhaha nimecheka bila kupenda usiku wote huu..
Anatakiwa na nani?R.i.p billionea but bongo mabilionea nadhan n wawili tu kwa sasa alikuaga mmoja tu rostam aziz, ili mtu kuitwa bilionea anatakiwa kuwa na worthy of one billion us dollars sio pesa etu ya madafu
Anatakiwa na nani?
Kwa viwango vya nani, Wamarekani au sisi Watanzania?
Sisi si Wamarekani, hatuko Marekani na hatuna uchumi wa dola, tunapima utajiri relative to hali ya watu wetu na pesa yetu, SARAFU YA TANZANIA!
Mtu mwenye motels mbili, Fuso 8 na Scania 5 vilivyotajwa humu tu, kwa Tanzania sishangai kudhaniwa kuwa na bilioni 1.
Watu wa kawaida sana mjini wanatatembea na milioni mia mbili, mia tano, mpaka madalali wa viwanja na wafanyabiashara wa ma briefcase mtaani. Itakuwa mtu mwenye ofisi na biashara za kueleweka toka the 1980's?
ishu sio u billionaire wa watu wa Arusha, inawezekana Kuna ukabila ndani yake ndo maana watu hawataki kukubali watu wa Arusha ni matajiri.
Sawa inawezekana hakuwa bilionea, lakini siyo sawa kuitwa muuza supu ilihali alikuwa amewekeza katika biashara mbalimbali!
Yaani huyo nae alikua anasema anakaa up in the hills LA au ilikua ATL sijui karudi bongo kaishia Polisi Oysterbay
Ndio lemutuz ni mfano mzuri wa kuigwa nao ,mwenzao sasa hivi anamiliki NOAH na ni king of all social media ni hatua kubwa Sana ila watanyooka tu mkuu
Ha haa Ngongo! Huyo Bwana yeye ndie Transporter wa Bia za kapuni ya Sbl kupitia kapuni zake. Kadhalika ana ma estate mengi sana.
Mwaka 2007 akiwa moshi Acc ilikuwa na bilion 1.7
Wanabodi kuitwa milioneo ai bilionea ni kiwango tuu cha pesa kwenye account yako!.
Shilingi 1 zikiwa mia moja, zinaitwa mia moja, mwenye nazo anaitwa mianea!.
Shilingi 100 zikiwa mia kumi, zinaitwa elfu moja, mwenye nazo anaitwa elfunea!.
Shilingi 1000 zikiwa mia moja, zinaitwa laki moja, mwenye nazo anaitwa lakinea!.
Shilingi 100,000 zikiwa kumi, zinaitwa milioni moja, mwenye nazo anaitwa milionea!.
Shilingi 1,000,000 zikiwa tisini na tisa, zinaitwa mamilioni, mwenye nazo anaitwa multi-milionea!.
Shilingi 1,000,000 zikiwa mia moja, zinaitwa bilioni moja, mwenye nazo anaitwa bilionea!.
Shilingi 100,000,000 zikiwa tisini na tisa, zinaitwa mabilioni, mwenye nazo anaitwa multi bilionea!.
Shilingi 100,000,000,000 zikiwa mia moja, zinaitwa trilioni moja, mwenye nazo anaitwa trilionea!.
Bado sijamsikia multi trilionea!.
Hivyo watanzania wengi sana ni ma mionea, ma elfunea, ma lakinea na mamilionea, wachache ni mabilionea na wachache zaidi ni ma trilionea!.
Hao mabilionea wa Arusha na Moshi, sio kule tuu, hata huku mijini, ukuiondoa mamilionea wahindi na waarabu, wengi wa mamilionea wamatumbi ni kutoka kule kule pande zile zile za Arusha na Moshi!.
RIP Bilionea wa Arusha.
Pasco
Huko kaskazini kuna vituko,yani mtu akimiliki ka vitz tayari nae ni bilionea!