Sawa inawezekana hakuwa bilionea, lakini siyo sawa kuitwa muuza supu ilihali alikuwa amewekeza katika biashara mbalimbali!Arusha kila mfanya biashara akifa anaitwa 'bilionea'.
tupo serious,ila kocha kimory hajasogelea u bilionea!!hata hatua moja,namjua vizuri!! Hata kwenye ligi ya matajiri wa arusha bado hawezi tia mguu,fuso nane na scania tano ni bilionea?? Acheni utani nyie.Kila mtu anayetokea Arusha anataka kutuaminisha ni Bilionea, come on guys...kuweni serious.
tupo serious,ila kocha kimory hajasogelea u bilionea!!hata hatua moja,namjua vizuri!! Hata kwenye ligi ya matajiri wa arusha bado hawezi tia mguu,fuso nane na scania tano ni bilionea?? Acheni utani nyie.
Kila mtu anayetokea Arusha anataka kutuaminisha ni Bilionea, come on guys...kuweni serious.
Hivi Arusha kila mtu ni billionaire?
R.i.p billionea but bongo mabilionea nadhan n wawili tu kwa sasa alikuaga mmoja tu rostam aziz, ili mtu kuitwa bilionea anatakiwa kuwa na worthy of one billion us dollars sio pesa etu ya madafu
Sasa kama mtu kafa account yake inasoma zaidi ya billion moja aitwe Nani ???