Tanzia: Bilionea Kimory wa Arusha afariki dunia

Watu wengine ni wajinga sana.. Anataka tuseme billionea in terms of US $ wakati sie tunatumia Shilling..
Halafu mtu anakuambia jamaa ana scania tano sijui na fuso ngapi ni muuza supu ,gharama ya scania tano kuzinunua achalia mbali kuzi maintain inazidi hiyo bilioni moja, hao wanaokataa sio bilionea kisa hela za madafu wao wana dola billion ngapi ???
 
tupo serious,ila kocha kimory hajasogelea u bilionea!!hata hatua moja,namjua vizuri!! Hata kwenye ligi ya matajiri wa arusha bado hawezi tia mguu,fuso nane na scania tano ni bilionea?? Acheni utani nyie.
ndugu thamani ya Scania 5na fuso 8 jumlisha na bar kubwa 2 na bank cash.. Utakuwa upo kwenye ligi ya ubishi kusema hastahili kuitwa bilionea wa madafu... Let's appreciate the hustles and sacrifices of others that made them rich.
 
Halafu mtu anakuambia jamaa ana scania tano sijui na fuso ngapi ni muuza supu ,gharama ya scania tano kuzinunua achalia mbali kuzi maintain inazidi hiyo bilioni moja, hao wanaokataa sio bilionea kisa hela za madafu wao wana dola billion ngapi ???

Mkuu wabongo utawaweza.. Wengine wanasema kila anayekufa Arusha ni billionea as if wote wanaokufa wanapostiwa humu teh teh

Kuna ----- mmoja ni mpishi wa Hotel kule Marekani, anawadanganya waswahili humu na viengereza vyake wanamuogopa kweli kweli.. Huyo ndie anaongoza kwa chuki dhidi ya Mabillionea wa kibongo teh teh
 
tupo serious,ila kocha kimory hajasogelea u bilionea!!hata hatua moja,namjua vizuri!! Hata kwenye ligi ya matajiri wa arusha bado hawezi tia mguu,fuso nane na scania tano ni bilionea?? Acheni utani nyie.

Hata busara na hekima ni utajiri!
 
Mkuu wabongo utawaweza.. Wengine wanasema kila anayekufa Arusha ni billionea as if wote wanaokufa wanapostiwa humu teh teh

Kuna ----- mmoja ni mpishi wa Hotel kule Marekani, anawadanganya waswahili humu na viengereza vyake wanamuogopa kweli kweli.. Huyo ndie anaongoza kwa chuki dhidi ya Mabillionea wa kibongo teh teh

Kuna league moja nshakutana naye ,kila kitu USA baby sijui nini, sema namwonea Huruma afadhali hawa wa pesa za madafu wanafikisha hiyo billion ,yeye na hiyo marekani anayoishi kufukisha dollar billion moja ni sawa na bubu atumbuize kama diamond
 
Alafu ajabu nikikwambia mtu huyo yuko on his 40's hutoamini.. Tena anakaribia 50..

Hajaoa wala hana mtoto.. Kazi yake upishi huko Marekani sijui angekuwa anafanya kazi ya kueleweka kama tungepumua humu
ishu sio u billionaire wa watu wa Arusha, inawezekana Kuna ukabila ndani yake ndo maana watu hawataki kukubali watu wa Arusha ni matajiri.
 
Ndio maana wanatema povu jingi... Hilo la ukabila ni kweli kabisa nakubaliana na wewe..

Tatizo wengi wanaishia pale Kimara mwisho, wakitembea na kule Masaki na Obey basi wanafikiri matajiri wote wako Bongo..

Mitoto ya Daslamu mingi ni mipoyoyo ndiyo maana inaishia kukamatwa na sembe kule China
 
Haha kwa hiyo kaja duniani kula na kupika ??? Sema ujue nini arifu machalii wa daslaam mboyoyo mingi laana
Kuna mada moja hivi ya Albert msando aliishia kuiponda ile Mercedes macho ya panzi utafikiria yeye ana push Maybach ,

Jamaa anakuambia vigari vikuu kuu wakati yeye anaishia kurent magari ya dolla 150 akapigie bakora wabeba box wenzie..

Sio Albert pekee.. Jamaa anachukia kila kijana aliyetusua maisha hapa nyumbani.. Ana ego ya hatari aisee
 
Wanabodi kuitwa milioneo ai bilionea ni kiwango tuu cha pesa kwenye account yako!.

Shilingi 1 zikiwa mia moja, zinaitwa mia moja, mwenye nazo anaitwa mianea!.
Shilingi 100 zikiwa mia kumi, zinaitwa elfu moja, mwenye nazo anaitwa elfunea!.
Shilingi 1000 zikiwa mia moja, zinaitwa laki moja, mwenye nazo anaitwa lakinea!.
Shilingi 100,000 zikiwa kumi, zinaitwa milioni moja, mwenye nazo anaitwa milionea!.
Shilingi 1,000,000 zikiwa tisini na tisa, zinaitwa mamilioni, mwenye nazo anaitwa multi-milionea!.
Shilingi 1,000,000 zikiwa mia moja, zinaitwa bilioni moja, mwenye nazo anaitwa bilionea!.
Shilingi 100,000,000 zikiwa tisini na tisa, zinaitwa mabilioni, mwenye nazo anaitwa multi bilionea!.
Shilingi 100,000,000,000 zikiwa mia moja, zinaitwa trilioni moja, mwenye nazo anaitwa trilionea!.

Bado sijamsikia multi trilionea!.

Hivyo watanzania wengi sana ni ma mionea, ma elfunea, ma lakinea na mamilionea, wachache ni mabilionea na wachache zaidi ni ma trilionea!.

Hao mabilionea wa Arusha na Moshi, sio kule tuu, hata huku mijini, ukuiondoa mamilionea wahindi na waarabu, wengi wa mamilionea wamatumbi ni kutoka kule kule pande zile zile za Arusha na Moshi!.

RIP Bilionea wa Arusha.

Pasco
 
Jamaa anakuambia vigari vikuu kuu wakati yeye anaishia kurent magari ya dolla 150 akapigie bakora wabeba box wenzie..

Sio Albert pekee.. Jamaa anachukia kila kijana aliyetusua maisha hapa nyumbani.. Ana ego ya hatari aisee

Ila sio bure acha tu achukie maana ni stress kurudi nyumbani ni aibu kama yupo 40's wenzake aliowaacha hapa wametoboa ataishia kurudi na I pad na earphones kubwaaaa za beats by dre
 
teh teh teh teh teh teh teh

Mkuu umenichekesha mno.. Le Mutuz alishawaambia kama mambo mabaya kule warudi nyumbani kuna fursa za kutosha tu..

Kuna yule demu alikuwa anawatambia hao wabeba box kule kwamba akaishi mtaa wenye hadhi ya juu, anaishi mtaa wa wazungu lakini cha ajabu nae alirudi kuja kutafuta kibarua cha Ubunge..
 
Yaani huyo nae alikua anasema anakaa up in the hills LA au ilikua ATL sijui karudi bongo kaishia Polisi Oysterbay
Ndio lemutuz ni mfano mzuri wa kuigwa nao ,mwenzao sasa hivi anamiliki NOAH na ni king of all social media ni hatua kubwa Sana ila watanyooka tu mkuu
 
Hahaahahhhaha nimecheka bila kupenda usiku wote huu..
 
Kuna league moja nshakutana naye ,kila kitu USA baby sijui nini, sema namwonea Huruma afadhali hawa wa pesa za madafu wanafikisha hiyo billion ,yeye na hiyo marekani anayoishi kufukisha dollar billion moja ni sawa na bubu atumbuize kama diamond

Asome hapa Nyani Ngabu..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom