Chenge
JF-Expert Member
- Oct 5, 2011
- 1,073
- 378
Sasa kama mtu kafa account yake inasoma zaidi ya billion moja aitwe Nani ???
Kama ni hivyo, kumbe hata mimi ni bilionea!
Sasa kama mtu kafa account yake inasoma zaidi ya billion moja aitwe Nani ???
sifa za kijinga.
Kama ni hivyo, kumbe hata mimi ni bilionea!
Watu wengine ni wajinga sana.. Anataka tuseme billionea in terms of US $ wakati sie tunatumia Shilling..
Nina vilaki vyangu kadhaa bank........kama alivyosema Pasco.......mimi ni lakionea..........
Kwa shilingi yetu mabilionea ni wengi sana maana kibao wana bilion moja
Sasa kama mtu kafa account yake inasoma zaidi ya billion moja aitwe Nani ???
dah mi mwenyewe akaunt ina zaidi ya 1m, ndiyo nshakuwa milionea??
Mfanyabiashara Maarufu toka miaka ya 80 Mtui wa Kimory Investment amefariki Dunia.
Kimory pia ni mmiliki wa lodges kadhaa jijini Arusha ikiwemo Kimory executive na Florida In.
Nisichoelewa ni huu ubilionea wa kila mtu Arusha,mbona huku Mwanza kuna watu wanapesa chafu zaidi ya hao watu wa Ar lakini huwezi waona kwenye majidai kibao ya kujifanya wao ni mabilione?au mnajisikia raha tu kujiita hivyo?!!
ushasema wana pesa chafu, hizo za huku ARUSHA watu wanamiliki kihalali na hazina hata doa la uchafu !
kuna watu wanadhani ngozi nyeupe na nywele mtelezo ndo wanastahili kuitwa mabilionea! Arusha ina mabilionea wa kutosha sema hawajitangazi kama wale wa upande wa pili.
Arusha ina mabilionea wa kutosha sema hawajitangazi kama wale wa upande wa pili.
teh teh teh punguza ukali wa maneno kwa baba mkwe wangu, amenizalia chema sana aisee.