Tanzia: Bilionea Kimory wa Arusha afariki dunia

Tanzia: Bilionea Kimory wa Arusha afariki dunia

Wanabodi kuitwa milioneo ai bilionea ni kiwango tuu cha pesa kwenye account yako!.
...
Shilingi 1,000,000 zikiwa mia moja, zinaitwa bilioni moja,

...

Shilingi 100,000,000,000 zikiwa mia moja, zinaitwa trilioni moja, ...

Pasco

Pasco, kwenye mia weka elfu. Na wengine washakuambia pia. Nimejb kabla ya kumaliza uzi.
 
Nisichoelewa ni huu ubilionea wa kila mtu Arusha,mbona huku Mwanza kuna watu wanapesa chafu zaidi ya hao watu wa Ar lakini huwezi waona kwenye majidai kibao ya kujifanya wao ni mabilione?au mnajisikia raha tu kujiita hivyo?!!

Hamjanyimwa kutangaza na wa kwenu wakifa (ama hata wakiwa hai). Ya nini kutufatilia tukijinasibu na wetu?
 
teh teh teh teh teh teh teh

Mkuu umenichekesha mno.. Le Mutuz alishawaambia kama mambo mabaya kule warudi nyumbani kuna fursa za kutosha tu..

Kuna yule demu alikuwa anawatambia hao wabeba box kule kwamba akaishi mtaa wenye hadhi ya juu, anaishi mtaa wa wazungu lakini cha ajabu nae alirudi kuja kutafuta kibarua cha Ubunge..

Mkuu umeua arifu, watu wanajitia matawi ya juu kumbe wanaona wivu watu wanavyokula bata bongo? Kaja kutafuta ubunge huko kusiko na elimu! maajabu hayaishi wajiulize why clinton alibagawa mapaka akaita Arachuga genever of Afrika, karibu telamande arifu upate sumbu ya mbuzi safi ya kupika kwenye chungu, hii ndi Arusha bana home of billioners of Tanzania to stay., wao wabakie na kina papa wao wanaowageuza matumbo ya watu malboro za unga.
 
Mimi sikai Arusha ila nimesoma huko na kuishi huko kwa kipindi flani.. Katika miji ya kijanja sana hapa Tz, Arusha na Moshi zinaongoza. Huko huwezi kuta mburulaz kama hizi za Daslamu na ndio maana watu wa huko wakija hapa Daslamu wanapiga bao fasta na kuacha hizi mburulaz zikishangaa shangaa.. Mitoto ya kidaslamu mingi (sio wote) inategemea kubeba mizigo tumboni na kuuza nyuchi wapate pesa ya kusumbua mjini hapa..

Alafu hilo mburula la marekani ukitaka ujue lina maisha mabovu yeye anapinga kila kijana mwenye mafanikio hapa Bongo.. Kuna uzi flani alimbeza Patrick Ngowi kisa tu katokea Arusha ila after some days jarida la Forbes likamtambua..
 
Mimi sikai Arusha ila nimesoma huko na kuishi huko kwa kipindi flani.. Katika miji ya kijanja sana hapa Tz, Arusha na Moshi zinaongoza. Huko huwezi kuta mburulaz kama hizi za Daslamu na ndio maana watu wa huko wakija hapa Daslamu wanapiga bao fasta na kuacha hizi mburulaz zikishangaa shangaa.. Mitoto ya kidaslamu mingi inategemea kubeba mizigo tumboni na kuuza nyuchi wapate pesa ya kusumbua mjini hapa..

Alafu hilo mburula la marekani ukitaka ujue lina maisha mabovu yeye anapinga kila kijana mwenye mafanikio hapa Bongo.. Kuna uzi flani alimbeza Patrick Ngowi kisa tu katokea Arusha ila after some days jarida la Forbes likamtambua..
Kweli Arusha ni chuo cha ujasiriamali na biashara watu wanatafuta pesa bana, hawarembi, hawachagui kazi sharobaro hakuna kazzi kwenda mbele. Karibu mkuu.
 
Kweli Arusha ni chuo cha ujasiriamali na biashara watu wanatafuta pesa bana, hawarembi, hawachagui kazi sharobaro hakuna kazzi kwenda mbele. Karibu mkuu.

Hakuna mwezi unapita bila mimi kufika hapo.. Lazima nifike pale Milestone kuchoma nyama, niende Njiro pale La Fiesta kula bia then nirudi nyumbani Sakina kulala..
 
Ubilionea umeshuka chati sasa,Na hivi Dolla ilivyopanda kila mtu sasa atakuwa millionea Na billionea
RIP Tajiri!

Yes.. you know why? To be a millionare or billionare you need two millions or billions ony.
 
Mkuu usimrushie maneno makali utakunyima unyumba teh teh teh

See, you're all over the place. Tap dancing like the late great Gregory Hines.

You're just lumping words together hoping to string coherent sentences but you fall flat on your face.

Trying to go sesquipedalian on me.....hahaha.....ma'am...you can't hang with me.

Just stick to what you know best: and that is get impaled.

Oh btw, how does it feel to get stretched by a 13 or 14 incher slithering anaconda?

Does it hurt? Do you get aawis?

You must be used to it by now.

Teh teh teh andaa pesa ya kusafirisha maiti kutoka US asije kukutia aibu bure.. Akifa huko tusije kuletewa michango ya kusafirisha mwanaJF mwenzetu

Acheni bana hii maneno...
 
Modi Modi Modi.... Umepita huku kwa mabilionea lakini????? Kuna watu wanakaribia kuuana kwa matusi ya kidhungu...

Le JF Millionea with two millions in my account ya mpesa.
 
Modi Modi Modi.... Umepita huku kwa mabilionea lakini????? Kuna watu wanakaribia kuuana kwa matusi ya kidhungu...

Le JF Millionea with two millions in my account ya mpesa.

Acha watu waonyeshe magonjwa yao bana.

We hujui watu humu wanasumbuliwa na Ngabu Complex?

What is a complex, you may ask.

Well, a complex is an emotional problem [sometimes mental as well] that causes someone to think or worry too much about something or someone.
 
Back
Top Bottom