TANZIA: Bi Kidude afariki dunia!

TANZIA: Bi Kidude afariki dunia!

Bi Kidude, umeyaona yanayoendelea kabla ya mauti yako hapa nchini. Kamwambie Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwamba naibu spika wa bunge ni Job Ndugai.
 
Kama namuona JK angekuwepo!angeanzia Mtwara kwa Maj Gen Makame,angeenda kwa Sambeke na kumalizia Zbar..week imeisha!!jana ametoa kali akiwa Holland..amepiga picha na watanzania woote 113 walioko kule mmoja mmoja na kumaliza wote zaidi ya lisaa anapiga picha tu!kweli rahisi tunae hana shida hana haraka kila kitu kwake easy tu kama kuuza nchi vile easy tu!
 
Akirudi ataenda tu...
 
is
Bi. Kidude
 
Back
Top Bottom