pamoja,na radio mbalimbali wameripotisource tbc1 dira ya mchana
legendary wa ukweli amefariki,poleni watanzania!
Nimekupata mkuu. Ahsante kwa taarifa.Bi Kidude amefariki nyumbani kwa mtoto wa kakayak maeneo ya Bububu.
Taratibu za mazishi zinaendelea kufanyika lakini mwili wa marehemu unahamishwa muda huu kupelekwa nyumbani kwake Raha leo.
Ni habari ya kusikitisha sana. R.I.P