TANZIA: Bi Kidude afariki dunia!

TANZIA: Bi Kidude afariki dunia!

Du pumzika bibi. nimesikia kutoka TBC 1. poleni wana familia.
 
Mr Presdent this now ok, tunakutegemea utuongoze watanzania kumuaga legend wa ukweli. I didnt kno Sajuki by face mpaka muunganiko wa picha za matangazo wakati anaumwa na hatimae kifo chake. RIP our true hero
 
itabidi rais kikwete akamzike ili waislam wafurahi.

RIP bi kidude.
 
Amefia wapi mkuu?

Bi Kidude amefariki nyumbani kwa mtoto wa kakayak maeneo ya Bububu.

Taratibu za mazishi zinaendelea kufanyika lakini mwili wa marehemu unahamishwa muda huu kupelekwa nyumbani kwake Raha leo.
 
Hii itakuwa kweli?? Maana itakuwa si chini ya mara ya nne kuzushiwa kifo,may almighty rest her soul in eternal peace Amen.
 
Back
Top Bottom