Hivi kumuona mgonjwa ndio upendo?kuna watu wanaenda kumuona mgonjwa ili kuja kutangaza alivyo na kuna watu hawawezi kumuona mtu wanaempenda akiwa anateseka so wanaopt kutoenda kumuonaR.i.p king Majuto...
Wasanii hapa ndio watajifanya walikuwa wanampenda, wakati ni wachache sana walienda kumuona alipokuwa amelazwa...
Kwani wewe ukiumwa ukoo mzima unakuja kukuona.R.i.p king Majuto...
Wasanii hapa ndio watajifanya walikuwa wanampenda, wakati ni wachache sana walienda kumuona alipokuwa amelazwa...
Alikuwa anaumwa nini?
kabisa mkuu yule mtu hatari sanaSisi waislam safi tunasema
Inna lillahi wa inna ilaihi raji'oon
Kuna msemo unao sema kufa kufaana....
Ya mungu mengi unaweza shtukia akaja akasema huo msiba umemgusa sana ivyo ameombwa na wasanii wenzake hausimamie