TANZIA: Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili

Huyu Mzee nilikuwa namkubali mno, anajua kuchekesha bila kubadilisha sauti wala kuvaa hovyo.,

Kweli kipaji cha comedy kimetokomea jamani.

R.I.P King
 
Duniani tunapita eh.Tusijisahau sana.Mungu ampumzishe salama。。
 
R.i.p king Majuto...
Wasanii hapa ndio watajifanya walikuwa wanampenda, wakati ni wachache sana walienda kumuona alipokuwa amelazwa...
Hivi kumuona mgonjwa ndio upendo?kuna watu wanaenda kumuona mgonjwa ili kuja kutangaza alivyo na kuna watu hawawezi kumuona mtu wanaempenda akiwa anateseka so wanaopt kutoenda kumuona
 

Similar Discussions

46 Reactions
Reply
Back
Top Bottom