Tanzania's Foreign Policy

Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2006
Messages
1,220
Points
1,250

Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2006
1,220 1,250
Luyungu, you got it right! Na kitu atachofanya sasa hivi ni kuingia na jina jingine. Huyu ni msenge wa kutupwa and ugly like motherfucker.
Sam!
Kuna nini tena? Hujawahi kuwa hivi katika uchangiaji wako huko nyuma,taratibu...............................................,Mfahamishe kwa utaratibu kama ni mwenye kuelewa atakuelewa tu,.............................Dunia imekusanya kila aina miongoni mwetu.......................tuvumiliane !
 

Mkandara

Verified Member
Joined
Mar 3, 2006
Messages
15,472
Points
1,250

Mkandara

Verified Member
Joined Mar 3, 2006
15,472 1,250
Sam,
Achana naye huyo mfungwa wa fikra!

Kulikoni,
Hujanisumbua bado kabisaa!. Kwani watu kama wewe ndio wale wasiokuwa na hoja zaidi ya kutafuta vichochoro vya kuepa ukweli. Muda mote tuliokuwa tukizungumza hapa maelezo yako yote yalikuwa ndani ya sanduku ukitazama nchi yetu tanzania kama mwanamke Malaya ambaye anajaribu kupata soko zaidi...Tofauti na hoja za wanabodi wengi ambao waliichukulia Tanzania kama mwanamke ambaye anahitaji kujiheshimu, kujitunza mwili wake na kupata elimu ambayo ni msingi wa maisha yake. Soma darasa zuri la Mikuki hapo nyuma labda utakuja ona mwanga.

Kwa hiyo kama huwezi kutazama tofauti za vitu hivi na kutafuta heshima wakati nchi inatafutiwa mabwana sijui kama kuna haja ya kuzungumza zaidi. Heshima hupatikana pale penye heshima, sasa hivi tanzania inacheza uchi tu ndugu yangu na heshima hiyo itakuwa kazi mimi kuamini kwamba kujianika uchi hakuhusiani na Umalaya.
 

Sam

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2006
Messages
416
Points
0

Sam

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2006
416 0
Mkandara
Nafuu tungekuwa machangu, tunafanya kwa sababu hatuna uwezo wa kujitegemea. Lakini huu ni umalaya wa kujitakia. Eti 2% kwenye madini halafu bado tunajichekesha na wao wanavyotufanya sisi wajinga wanatusifia ili mavichwa yawe makubwa na tuzidi kuuza. Hayo matatizo yote wanayosema kama rushwa ni matokea ya matatizo tuliyonayo. Hivi ni kwa nini kale kausemi kwa ujamaa na kujitegemea bado kako kwenye katiba wakati tunaendeleza umalaya?
 

mikuki

Senior Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
101
Points
0

mikuki

Senior Member
Joined Mar 10, 2007
101 0
Waungwana matusi si jadi yetu. Naamini Mtanzania mwenye acess ya mtandao atleast huyo ni middle class. Kwa vyovyote vile ana upeo wa kuona mbele. Si vema kutukanana hapa kama muungwana alivyosema kila mtu anajaribu kuweka hisia zake. Na naamini kila mtu humu anaitakia mema nchi yetu! tupingane kwa hoja na siyo matusi.

Defunkadelic I honestly agree with you and other colleagues. Tatizo nililonalo mimi ni viongozi wetu (uongoza bora kama alivyosema mwalimu). Dunia ya leo hakuna nchi ambayo inataka mwenzake aendelee! Haipo, kila moja inataka kutawala. Angalia EU na US (especially hasira za France inavyojaribu any means ku counter balance US powers! Angalia Security Council ambavyo nchi ambazo hazina veto zinavyolalamika! na wengine tumekuwa relagated kama wasindikizaji kwenye global agenda! Africa tunajadiliwa pale New York ikiwa ni swala la njaa, Aids, umaskini na wakimbizi! Tunajifunza nini?

Na ndo maana I always tell my friends at the end of the day UN will fail why? Priorities za developing world (ambazo ni development primariry) ni tofauti sana na developed world (ambazo ni security, democracy na human rights) kwa hiyo such groups can not build concensus on critical issues! As Koffi Annan said there is a danger of other global powers (like NATO or Coalition of the willing to replace UN). Indeed its now happening from Kosovo 1998, Iraq et al!

Solution ya matatizo yetu ni sisi wenyewe! Tusitegemee investors wezi kubadilisha chochote. Wengi wametoa mawazo mazuri tuu humu sina haja ya kurudia. Ni wajibu wa viongozi wetu kuamua kwamba tufanye WOTE sacrifice, wajinyime unnecessary expenditures kama kununua mavx, luxurious spending et al! instead tuelekeze juhudi zetu kwenye huduma na kuwawezesha wananchi wetu wasome, wapate huduma za afya, wapate sehemu za kuuza mazao yao (we have to empower these people if at all we want to see real progress in our country). Kila mtu athaminiwe na apewe nafasi ya kujiona part of Tanzania! We imagine society ambayo ina zaidi ya 80% ya jamii wanaishi vijijini wanategemea jembe la mkono! wengine hawana uhakika wa mlo wa jioni!! (lakini ukiangalia kwa undani hata anayeishi mbagala na other suburbs za Dar sidhani kama anatofauti na yule wa kwetu Kigoma labda kwa sababu halimi!!) lakini bado tunahangaika na rada na ndege na mashangingi ya wakubwa ambao ni less than 2% of the county!! Surely, something must be wrong somewhere!

tunazalisha drs, engineers, lawyers na wataalamu kede kede! wako wapi? wanafanya kazi huku ughaibuni wakati ndugu zao wakiwa hawana hata mganga wa kuprescribe aspirin! wanafiki watasema kwamba sio wazalendo! Hapana mimi nasema ni mfumo mbovu na kutojua priority za wananchi. Huwezi ukamlipa mbunge all those pecks wakati hakimu unampa laki moja na nusu!! Dr unampa peanut!! na wengineo!! Serikali zetu bado zinaangalia connection ya mtu na si merit katika utendaji. Hatujajua accountability au tunajua ila hatutaki. Wenzetu wanathamini kila mwananchi na kila mwananchi anaona ni wajibu wake kuchangia maendeleo..waungwana jiulize kodi tunazolipa hapa ni kiasi gani?-ila tunaona returns in social services. kule nyumbani ambao wana nafasi na biashara nzuri ndo wana colude na serikali kukwepa kodi! hayo ni maendeleo au ni mockery?

Juzi nilikuwa na plan nianze kurudisha mkopo wangu wa degree yangu ya UD (nashukuru maana kweli wazazi wangu wasingeweza kunisomesha) na ni wajibu wangu kabisa kulipa hii hela. Lakini unaambiwa wanaostahili kulipa ni kuanzia 1994! Jiulize kwanini? maana hii ni kama expression ya shukrani na vile vile kuiwezesha hii bodi isaidie wengi na infact hata Raisi angekuwa mstari wa mbele na mawaziri kulipa.... after all ndo wanakipato kizuri! Lakini the whole issue inaangaliwa in political spectrum! Kukomoana! Anyway nitalipa soon!

Waungwana wenzangu we need fundamental changes in our country! I remember nilienda nyumbani kupiga kura, I believed that JK carried hopes za watz (naomba nisimhukumu) but he has not lived to my expectations kabisa! He has failed to challenge political establishment which has condemned our country in recurring abject poverty.

What I can tell you, viongozi wetu hawataki kubadilisha mfumo maana wanataka system iliyopo iendelee kwa sababu ndo inawanufaisha. Tumeshazoea kupigiwa makofi, we are not ready to accomodate differing perspective maana whoever dares will be told ni msaliti au hana shukrani! Mimi nasema AFRIKA we still have a long way to go. Na hata kama tungepewa debt relief yote na nini sijui, it will still be difficult kusonga mbele kwa sababu tuliopata nafasi tunapenda hii system iendelee unchallenged kwa sababu ndo inatusaidia kuendeleza mirija ya unyonyaji kwa wenzetu! We need fundamental changes.

Just imagine swala la usafi wa jiji mpaka Prime Minister aongee??? Meya yuko wapi, all these crooks wanaokula kodi zetu wako wapi? imagine mpaka PM aongelee kuhusu MACHINGA NDO Kimbisa na watu wake wanaanza kupiga zimamoto na after one week! Back to square one! Kwa utendaji huu, are matching anywhere??!!! US, Europe, or Japan or whoever will never help us to develop!! And they like it this way!! Kama jamaa alivyosema hapo juu...hii misaada inawanufaisha wachache!! And they know! Its sad but ndo reality!!
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
8,854
Points
1,250

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
8,854 1,250
Membe will always follow what JK did na ndiyo kaamua kuwa msindizaji wa rais na yeye kuanza kutoa kauli kwa mabalozi. Kazi kubwa kisa waandikwe na Nchi inakufa kwa umasikini mkubwa .
 

The Invincible

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2006
Messages
5,601
Points
2,000

The Invincible

JF-Expert Member
Joined May 6, 2006
5,601 2,000
Sam,
Achana naye huyo mfungwa wa fikra!

Kulikoni,
Hujanisumbua bado kabisaa!. Kwani watu kama wewe ndio wale wasiokuwa na hoja zaidi ya kutafuta vichochoro vya kuepa ukweli. Muda mote tuliokuwa tukizungumza hapa maelezo yako yote yalikuwa ndani ya sanduku ukitazama nchi yetu tanzania kama mwanamke Malaya ambaye anajaribu kupata soko zaidi...Tofauti na hoja za wanabodi wengi ambao waliichukulia Tanzania kama mwanamke ambaye anahitaji kujiheshimu, kujitunza mwili wake na kupata elimu ambayo ni msingi wa maisha yake. Soma darasa zuri la Mikuki hapo nyuma labda utakuja ona mwanga.

Kwa hiyo kama huwezi kutazama tofauti za vitu hivi na kutafuta heshima wakati nchi inatafutiwa mabwana sijui kama kuna haja ya kuzungumza zaidi. Heshima hupatikana pale penye heshima, sasa hivi tanzania inacheza uchi tu ndugu yangu na heshima hiyo itakuwa kazi mimi kuamini kwamba kujianika uchi hakuhusiani na Umalaya.
actually this boy kulikoni is very narrow minded. halafu yeye mwenyewe hajitambui. ananikumbusha paka anayejiangalia kwenye kioo na akaona picha ya simba. pole pole tu ataelewa. kidogo hoja zake zinashabihiana na za ttj. that junk has disappeared.
 

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2007
Messages
1,087
Points
0

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2007
1,087 0

Ogah

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
6,233
Points
1,225

Ogah

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2006
6,233 1,225
Duuhh

Defunkadelic, umaniamsha usingizini, kula tano babake, post yako No 37 maridaad saana

Mkandara, Dr.Khamisi well said pia, nina imani wahusika wakuu wanayasoma hayo mliyoaandika, na nina assume wana nguvu za kutosha kuyafanyia kazi mawazo yenu, otherwise the should engage you guys

sam
mzee mwenzangu achana na huyo kijana, hata mimi lugha yake ilinikera sana,however anahitaji kusamehewa tu, hajui kuna akina nani humu. thanks man kwa kutuunganisha na link ya jamaa yetu defunkadelic

adios
 

Kulikoni

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2006
Messages
203
Points
195

Kulikoni

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2006
203 195
Naamini hapa ni battle of idea of what is the best foreign policy tanzania should have...

Hivyo kuweka hoja nzuri na za msingi kama za dr hamis ni kutuondosha katika lengo.


Mikuki:

Umetoa hoja nzuri nitakujibu in details soon

In the mean time nangojea michango ya drwho tuendelee kudebate naamini anaijua vyema sera ya mambo ya nje ya tanzania na nitamfahamisha vizuri zaidi yanayohitajika, tukikuna vichwa kwa pamoja tutafika tu!

I am a firm believer of ARI MPYA na najua safari hii for sure tutajikwamua matatizoni, give us time and support and CHALLENGE!
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
8,854
Points
1,250

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
8,854 1,250
Kulikoni ni Kampeni Manager wa Membe na Membe kesha anza kampeni za Urais. Membe na Kulikoni wote nyuma walikuwa kwenye Dept moja ya Ushushu leo uatshangaa nini ?
 

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2007
Messages
1,087
Points
0

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2007
1,087 0
defunkadelic
Hawa wanasiasa wakati mwingine wanahitaji kuburudika ndiyo maana wakati mwingine vichwa vyao havifanyi kazi.

Kabla sijasahau...

http://www.defunkadelic.com/media_v/media.php

au

http://www.defunkadelic.com

Usiwe na wasiwasi tunajuana nje ya forum.

Take 5 mazee nilikuwa najua wewe ni mtu wa viwanja tu kumbe hata siasa na uchumi unajua.
Sio siasa na uchumi mkuu, ila ni common sense. Do not judge a book by its cover my friend, hata JK anaelewa bongoflava siku hizi. Nikikwambia kuna kipindi kuna watu nimefanya nao kazi nyeti pale BAE Systems kwa miaka miwili (karibu kila wiki tulikuwa tunadeal mara 2 tatu hivi) utaniamini (na baada ya miezi michache tutaendeleza kazi kama kawa)? Yaani foreign policy ya kupitia contract kama ya radar mbona ingekuwa rahisi sana (bila kutumia waNorway)? Amongst many things, wazawa wapo wanauwezo wa kurahisisha mambo fulani fulani ili kuendeleza taifa.
Tunasubiri hilo faili la DrWho......sijui kalifuata outer galaxy??
 

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2007
Messages
1,087
Points
0

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2007
1,087 0
Naamini hapa ni battle of idea of what is the best foreign policy tanzania should have...

Hivyo kuweka hoja nzuri na za msingi kama za dr hamis ni kutuondosha katika lengo.


Mikuki:

Umetoa hoja nzuri nitakujibu in details soon

In the mean time nangojea michango ya drwho tuendelee kudebate naamini anaijua vyema sera ya mambo ya nje ya tanzania na nitamfahamisha vizuri zaidi yanayohitajika, tukikuna vichwa kwa pamoja tutafika tu!

I am a firm believer of ARI MPYA na najua safari hii for sure tutajikwamua matatizoni, give us time and support and CHALLENGE!
Support can sometimes be delivered as criticism.....positive criticism. Most probably your grandparents (if not your parents) are/were farmers. Sasa wewe huoni kuomba misaada/investment nje ya nchi bila kuwa empower watanzania (in my case nalilia wakulima) haijakaa vizuri? Nchi nyingi zilizoendelea, hakuna watu wenye powerfull lobby kama wakulima. Wakulima wa UK wakikohoa Tony Blair hakai vizuri. Wakulima wa EU wakikohoa, politicians hawakai vizuri. Wakulima wa marekani na EU ndio wanaosababisha misosi inakuwa dumped nchi masikini, they overproduce and still get paid. By the government of Tanzania not realising the potential of agriculture is plain wrong (its one thing to talk about it, but doing is another).
My brother Kulikoni, its best to say, we will do better next time. But you can not defend a 2.5% expenditure. Infact that amount comes to about $120,000,000. Yaani hiyo ni bajeti ya mkulima mmoja nchi za ulaya hahaaaa....
Tanzania shouldnt be hungry, Tanzania should never be hungry, Tanzania should produce and process its food products and sell directly abroad.

My point is, you can not talk about foreign policy, when your policy at home is in shambles. Thats the truth from a mTanzania who loves Tanzania.
 

Dr.Khamis

Member
Joined
Mar 5, 2007
Messages
44
Points
0

Dr.Khamis

Member
Joined Mar 5, 2007
44 0
” Tanzania is filthy rich, even though wazungus say we are one of the poorest countries in the world.” says Defunkadelic

” Support can sometimes be delivered as criticism.....positive criticism. Most probably your grandparents (if not your parents) are/were farmers. Sasa wewe huoni kuomba misaada/investment nje ya nchi bila kuwa empower watanzania (in my case nalilia wakulima) haijakaa vizuri? Nchi nyingi zilizoendelea, hakuna watu wenye powerfull lobby kama wakulima. Wakulima wa UK wakikohoa Tony Blair hakai vizuri. Wakulima wa EU wakikohoa, politicians hawakai vizuri. Wakulima wa marekani na EU ndio wanaosababisha misosi inakuwa dumped nchi masikini,”Says Defunkadelic

Wale ambao wana data za watalii ambao wamekuja Tanzania toka 2000 mpaka 2005 hebu tuandikieni hapa.Halafu tuelezeni ni kiasi gani cha fedha za watalii katika miaka hiyo kimeingia katika mfuko wa serikali?

Wawezekaji wangapi wa kigeni ambao wanaweka fedha zao katika miradi ya kilimo Tanzania? Hakuna hata mmoja kwa sababu serkali zao zinawapiga marufuku kufanya hivyo.Sababu ni kwamba serikali za EU zinawapa mikopo wakulima wake na kuimarisha ukulima katika nchi zao.

Ndio Defunkadelic, Tanzania ina utajiri mwingi sana lakini sisi wenyewe hatujui nama ya kuutumia! Kwa mfano hii gesi nyingine ambayo imegunduliwa sasa hivi tayari kuna” wataalamu” wamenza kusema Tanzania haiwezi ku-develop hii gesi yenyewe bila ya msaada kutoka Kenya na Uganda ili kuweka bomba la gesi. Hata hivyo wawezekaji hao hao wanasema gesi yetu sio nyingi. Sasa kwa nini hatuitumii nchini ili tupunguze gharama za mafuta?

Wawezekaji wa kigeni wamevamia madini yetu hasa dhahabu. Makaa ya mawe aaaa.Chuma aaaaa. Faida kubwa iko kwenye dhahabu kwa nini waweke fedha zao kwenye Chuma na Makaa ya mawe kuisaidia Tanzania?

“Self criticism “ ndio kitu ambacho sisi watanzania tunatakiwa kufanya. Bila “self criticism” hatutaendelea popote. Rasi JK anajitahidi kwenda huku na huku kuwatafuta hao wawezekaji, mfano ni kiwanda cha Ethanol amapcho Sweden imeahidi kujenga:
Tujiulize hapa je Tanzania tunazo gari (mabasi na magari ya kawaida) ambayo yatatumia hiyo ethanol? Sweden tayari wanazo gari hizo na bei yake ni ghali mno.Balozi wetu ambaye yuko Sweden amefanya utafiti huu. Ni watanzania wangapi ambao watakuwa na uwezo wa kununua gari hizo. Kwa nini SAAB haileti gari zinazotumia gesi badala ya kujenga kiwanda kama hicho cha ethanol au tupate vyote(kiwanda na hizo gari za gesi).
 

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2007
Messages
1,087
Points
0

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2007
1,087 0
Wale ambao wana data za watalii ambao wamekuja Tanzania toka 2000 mpaka 2005 hebu tuandikieni hapa.Halafu tuelezeni ni kiasi gani cha fedha za watalii katika miaka hiyo kimeingia katika mfuko wa serikali?

Ndio Defunkadelic, Tanzania ina utajiri mwingi sana lakini sisi wenyewe hatujui nama ya kuutumia! Kwa mfano hii gesi nyingine ambayo imegunduliwa sasa hivi tayari kuna” wataalamu” wamenza kusema Tanzania haiwezi ku-develop hii gesi yenyewe bila ya msaada kutoka Kenya na Uganda ili kuweka bomba la gesi. Hata hivyo wawezekaji hao hao wanasema gesi yetu sio nyingi. Sasa kwa nini hatuitumii nchini ili tupunguze gharama za mafuta?

Wawezekaji wa kigeni wamevamia madini yetu hasa dhahabu. Makaa ya mawe aaaa.Chuma aaaaa. Faida kubwa iko kwenye dhahabu kwa nini waweke fedha zao kwenye Chuma na Makaa ya mawe kuisaidia Tanzania?

“Self criticism “ ndio kitu ambacho sisi watanzania tunatakiwa kufanya. Bila “self criticism” hatutaendelea popote. Rasi JK anajitahidi kwenda huku na huku kuwatafuta hao wawezekaji, mfano ni kiwanda cha Ethanol amapcho Sweden imeahidi kujenga:
Tujiulize hapa je Tanzania tunazo gari (mabasi na magari ya kawaida) ambayo yatatumia hiyo ethanol? Sweden tayari wanazo gari hizo na bei yake ni ghali mno.Balozi wetu ambaye yuko Sweden amefanya utafiti huu. Ni watanzania wangapi ambao watakuwa na uwezo wa kununua gari hizo. Kwa nini SAAB haileti gari zinazotumia gesi badala ya kujenga kiwanda kama hicho cha ethanol au tupate vyote(kiwanda na hizo gari za gesi).
Mmmh. That figure of Tourism, ningependa kuona pia. Pia ningependa kujua foreign policy ya kuvutia watalii. Kwanza naamini kabisa, wazungu ndio wanatengeneza pesa zaidi yetu kutokana na utajiri wa mbuga za wanyama etc. Watu wananunua packages huku huku ulaya, wanaofanya kazi za kuzungusha watu ni wabongo (kina Juma, Massawe etc), kwahiyo pesa inalipwa ulaya, wabongo wanapewa mabaki. Je serikali inaangalia vipi ku-encourage wawekezaji wa kiTanzania, wajichomeke nawenyewe ulaya, wafanye biashara kama wazungu, na pesa zionekane kufaidisha Tanzania zaidi? Au hata wafanya biashara wa kiTanzania wenyewe, what is their game plan? cos me am bit tired of looking for tourist for tourist companies back home....'mshikaji nitafutie wazungu basi'...yeah, i love doing that, lakini, hebu think bigger basi duuh!!

What is the foreign policy on education? Umeongelea gesi na kuleta wakenya/waganda. Let me tell you an interesting fact. Kenya has no oil/gas (maybe prospective, or discovered recently), lakini Shell has been based in Kenya for umpteen years. Hell, they even have Shell refineries. REFINERY IN KENYA??? WHY?? Kuna msichana nilikuwa naye chuo kimoja, mkenya, sasa hivi yuko anafanya Shell Kenya. Kuna mshikaji nimesoma naye (Mnigeria), sasa hivi yuko Shell UK. Na yeye ananiambia/anashangaa, hivi imekuwaje kuwaje waKenya wakawa na refinery? Halafu anakutana na waKenya wengi hapa Shell UK, lakini anajua hawana mafuta. Lakini hata siku moja hajakutana na mTanzania (ofcourse nina uhakika kuna waTanzania wapo wameshaingia Shell). This is putting things into perspective. So what is our policy on educating people to run our own things? Kwasababu with the years of giving/winning scholarships to/for people to study abroad (example kusoma mambo ya Agriculture pale Wageningen University Holland), how do we use these people? Kwasababu sioni maendeleo.
Kuna University hapa UK zenye course ya Petroleum Engineering, haziwezi kufunction bila kuwa na WaNigeria kiasi fulani. Kama mTanzania na mNigeria anapply, same qualifications, mNigeria atachukuliwa (trust me, this is inside information....). WaTanzania policy yetu niaje? Au tutaendelea kuleta wazungu wenye HND diploma tukifikiria ndio degree na uzoefu (wakati huku hawana market)?

Dr. Khamis, hicho kiwanda cha Ethanol ndio nasikia kwako. And that sounds like them White Elephant (is that the correct word? Nimesahau kidogo) projects. Wewe watu wata-afford magari ya Ethanol, wakati bado tuna-import 2nd hand kutoka Uarabuni na Japan? Wazungu wenyewe hapa hawawezi ku-afford sasa hivi (Oil =Petrol/Diesel is the cheapest form of energy at the moment for running cars/or for other usages, and it will remain that way, mpaka wazungu waishiwe mafuta).
 

Mwanagenzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2006
Messages
691
Points
1,250

Mwanagenzi

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2006
691 1,250
Wakati tunazungumzia Foreign Policy yetu, inawezekana baadhi yetu hatuwafahamu wawakilishi wetu ...inawezekana pia baadhi yetu tunawafahamu zaidi na tunaweza kuchangia mawili matatu kuhusu utendaji wao na kadha wa kadha, kwa maslahi ya taifa letu (changa!!)

Business oriented consuls

The Tanzanian government has been careful to choose businessmen well connected with sectors of interest to Dar es-Salaam as its honorary consuls abroad.

Didier Murcia is one of Tanzania’s honorary consuls abroad, in the event for Western Australia and Queensland, whose professional activity is related to an important economic sector for Tanzania. The chairman of the law firm Murcia Pestell Hillard, he is indeed an executive of two mining firms registered in Australia (Gindalbie Metals Ltd and Gryphon Minerals Ltd), the founder of Tanzoil and since 2004 director of Aminex, a company listed on the London Stock Exchange and active in searching for oil in Tanzania. His colleague, the honorary consul for Victoria, Southern Australia and Tasmania, Nana Bhanji Laxman, is for his part the managing director of the Indian Trade Centre (ITC), a private consulting company based in Melbourne and specialised in trade with India. The Tanzanian consul in Sydney is Robert Ebner, a lawyer from the firm Denes Ebner Lawyers.

The Tanzanian consul in Nice (France) is none other than Gérard Pasanisi, the founder of Tanganyika Wildlife Safari, a company controlling nearly half of the Selous Game Reserve in Tanzania and also operating in a 22,000 sq km zone in Masailand, in the north of the country. For Dubai and the north of the United Arab Emirates, the Tanzanian consul is Abdulredha Ali Bin Redha, the CEO of Global Village, an annual trade fair organised by the Tatweer Group, held from December 2006 until February 2007. He began his career with the Emirates Group in 1994, later poached by the Dubaï Development and Investment Authority (DDIA) to head its Procurement Department, and then in 2005 to become the sales director of the Dubai Industrial City. His counterpart in Japan is none other than Konoike Kazusue, the chairman of the firm Konoike Construction Ltd whose premises house the Tanzanian Consulate. The same goes for South Korea, where the consul is the chairman of the Hyundai Corporation and in Manilla where it is the head of Inter-Travel & Tour Inc.

In Florida this function is filled by Kjell Bergh, of Norwegian birth who came to the USA in 1965 as a free-lance journalist and later settled as agent for Borton Volvo later opening his own store in Minnesota and becoming one of the largest Volvo agents in the USA. On the other hand, the Tanzanian consul in another region of the United States, Dallas Browne, an anthropology professor at Southern Illinois University Edwardsville, is oriented more towards culture than business.

Source: ION
 

Forum statistics

Threads 1,381,329
Members 526,033
Posts 33,796,291
Top