Tanzania yetu ina majasusi wa aina gani?

Status
Not open for further replies.
Wakuu majasusi wengi wa Tanzania au tunaoambiwa kuwa ni watu wa system wengi ni informers. Ujasusu kama ujasusi hapa Tanzania ni kama hakuna. Usalama wa Taifa au TISS/UWT kazi yao kubwa iko kwenye kumonitor mwelekeo wa kisiasa Tanzania hasa kuwadhibiti opposition na elements zote za upinzani na assasinations za elements zozote zinazoonekana kuwa against himaya ya CCM.

Usalama wa Taifa ulianzishwa na CCM kwa hiyo bado unaiserve CCM na sio Taifa, kama ungekuwa unaiserve Taifa mambo mengi tunayolalamikia sasa yasingekuwepo.

In simple words, kazi yao ni kulinda viongozi, kusafiri na viongozi na kuilinda CCM.

Kazi kubwa nayoweza kusema naikumbuka kwa hivi karibuni ni kukama wale majambazi wakubwa waliokuwa wanavamia mabenki. Naweza kusema they did an excellent job, wangefanya hayo kwenye mengine tungekuwa mbali sana.
Mkuu kweli majambazi yaliyokuwa yanavamia mabenki yalikamatwa na watu wa UWT au na polisi? Nadhani hivi ni vyomo viwili tofauti. Labada vinaweza kuwa vina-share information lakini utendaji wao ni tofauti.
 
Mkuu najua vyombo vyote vinashirikiana, lakini nakumbuka polisi waliwakamata lakini jamaa wa usalama walifanya kazi sana, kazi kubwa.
 
majasusi wetu ni wanajasusi for ccm, na sio nchi. natamani ningekuwa jasusi niwe natoa habari za sisisemu/ccm kupeleka vyama vya upinzani kisirisiri...hahaha
 
Hapa hakuna majasusi. Waliopo ni informers tu. Kwanza jasusi huwezi kumjua kwa sababu anafanya kazi kwa usiri mkubwa, hio ni sifa ya kwanza. Pili, ni 'intelligent' sana, anajua mambo mengi nk. Hapa watu wanaona ujiko kujulikana tu ni informer.

Red Pepper jasusi wa TISS ni mtu wa kawaida sana na anaishi maisha ya kawaida. anakuwa hatari tu kama usalama wake uko hatarini. Ndio maana hata mimi nikwambia ni jasusi huwezi kuamini. Ila wanafanya kazi kubwa sana. We ungekuwa uko jikoni na ukaona what information is being collected ungeshangaa.

The problem ya hii nchi ni kutokuthamini wasomi na analysis zao (hata wale walio TISS). Na hili ni nje ya uwezo wa TISS. Wenye nadharia za sayansi ya siasa wanasema kunahitajika Political will (utashi wa kisiasa) na hili sio jukumu la jasusi bali la wanasiasa.
 
Mtazamaji,

Hii ni mada nzuri sana.Ni kweli,nilitaka kuandika mada kuhusu hii kitu.Ngoja baadae nitarudi kuchangia fresh,bado nina hangover ya pepa
 
Red Pepper jasusi wa TISS ni mtu wa kawaida sana na anaishi maisha ya kawaida. anakuwa hatari tu kama usalama wake uko hatarini. Ndio maana hata mimi nikwambia ni jasusi huwezi kuamini. Ila wanafanya kazi kubwa sana. We ungekuwa uko jikoni na ukaona what information is being collected ungeshangaa.

The problem ya hii nchi ni kutokuthamini wasomi na analysis zao (hata wale walio TISS). Na hili ni nje ya uwezo wa TISS. Wenye nadharia za sayansi ya siasa wanasema kunahitajika Political will (utashi wa kisiasa) na hili sio jukumu la jasusi bali la wanasiasa.

Nadahni tatizo la masingi sio utashi wa kisiasa tatizo la msingi ni Muundo wenyewe wa hizi tasisi zetu. Mfano mdogo jiulize maswali haya au nisahihishe kama nimekosea.

Kwenye baadhi ya balozi zetu utasikia kuna mwambata wa kijeshi. sijui wana kazi gani? je kwa nini msisitizo usiwe kuweka wambata wa kiuchumi/kiteknolojia kwenye balozi hizo kama South africa.? katka karne ya sasa kuna faida ya kuwa na mwambata wa kijeshi south africa???? nadhani ni kukariri na kukosa kwenda na wakati au kukosa ubunifu?

Pili maono au hisia zangu ofisi zetu za balozi ziko underutilised. Nasema hivi sijui kama mablozi wetu wanawajibika kutuma report za kiuchumi au kitekonolia zinatozoteake kwenye nchi walizopo zinazoweza kuwafaidisha watanzania.?

Vile vile nina hakika kuna opportunities nyingi kwa watanzania zinapatikana china zaidi ya zile zinajulikana . nani anatakiwa kuw amstari wa mbele kuziwakilisha. Upande wao wachina makampuni yao na watu wao wana taarifa ni km ngapi za bara bara na miradi ya ujenzi itajengwa mwaka ujao wa fedha Tanzania. Je ubalozi wa Tannzani tunajua wachina wanatumia chai ya dola ngapi kwa mwaka? Je tunajua % kubwa ya chai ya wanayotumia wachina wanaagiza kutoka wapi na kwa nini?

Sio Lazima afanye kazi kijasusi nadhani mchumi wa kawaida akipewa kazi ubalozini ya na kuelekezwa na takwimu gani tunataka kutoka china au nchi yeyote atazipata na hii itatusukuma mbele.

Mfano mwingine ofisi ya uBalozi wa japan nchini tanzania itakuwa na takwimu ni toyota ngapi used na new wataanzania wanaagiza kwa mwaka. Lakini unaweza kuuuliza na usipate jibu ubalozi wa tanzania nchini japan kuhusu Tanzanite/dhahabu ya shilingi ngapi wajapan wananunua kotoka tanzania.
 
Hivi mashushushu wa TZ kazi yao nini?..ukikaa hivi unasikIa mara fulani ni shushushu..mara taxi dreva fulani ni mtu wa system... mara mwanafunzi fulani naye yuko kwenye system....

kaaazi kweli kweli...

Kazi yao kubwa nikuvaa miwani mweusi ili kuwatisha wadanganyika na kufuatilia nyendo za watu wanaoonesha nia ya kupambana na mkwere kugombea utais mwezo october basi!!
 
Hapa hakuna majasusi. Waliopo ni informers tu. Kwanza jasusi huwezi kumjua kwa sababu anafanya kazi kwa usiri mkubwa, hio ni sifa ya kwanza. Pili, ni 'intelligent' sana, anajua mambo mengi nk. Hapa watu wanaona ujiko kujulikana tu ni informer.
U can say dat again bro...........LOL
 
Tanzania haina majasusi wa kusaidia jamii kwa ujumla na hili ndilo tatizo kubwa. Tunahitaji kujenga mfumo wa taasisi za kijasusi malengo na sera ya kusaidia kuboresha maisha ya wananchi badala ya kuwatumikia viongozi.
Ujasusi wa kitanzania bado ni wa kisiasa za kizamani ambazo zinalenga kuwalinda watawala kwa kisingizio cha usalama wa taifa.
Tunahitaji kujenga taasisi ya kijasusi inayolinda maslahi ya uma na siyo watawala na ikibidi taasisi hiyo isaidie jamii kuwang'oa watawala au viongozi wabovu na mafisadi wengine wanaotorosha utajiri wa taifa letu Tanzania na hivyo kuzidi kufanya maisha ya Watanzania kuwa duni siku hadi siku.
 
tatizo la Tanzania ni Siasa, hiki kitengo kinafanya kazi kwa nguvu ya kisiasa, kinajitahidi sana kukusanya information ambazo ziko creative na zenye maana, lakini maamuzi yanakuja kuwa ya kisiasa zaidi, Huu ni usalama wa Taifa, siwezi kukukubalia kuwa wale wezi Wa EPA walichota fedha pale BOT kuwa hawa jamaa wa UWT walikuwa hawajuhi, walikuwa well informed lakini fedha zilikuwa zinaenda CCM so what?, hii mikataba yote mibovu ilikuwa uinajulikana lakini hipo kisiasa zaidi
 
Wakuu jamaa wa usalama si kama hawajui kazi yao, kama wanavyosema wadau wengine tatizo liko kwenye decision making. wao wanatekeleza maagizo ya politicians kwa mujibu wa proffession yao. Kama wao wangefanya maamuzi na kuyatekeleza wenyewe Tanzania isingekuwa ilivyo leo.

At this moment unaweza kuona kazi yao ni nini. Angalia walichowafanya CCJ, do you know where the order came from? surely wao wenyewe wasingetoa order kama hiyo, kuna wakati wanajua kuwa order wanazopewa ni za kijinga lkn they have to do it kwa kuwa ni order, not because it is right. Tusiwalaumu. hata ukiangalia utaona kuwa ni wao waliotuambia kila kitu kuhusu EPA na ujinga wote tunaofanyiwa na wanasiana. so tusiwalaumu, tunatakiwa kuhakikisha kuwa decision makers wanakuwa watu wa maana wenye interst na usalama wa taifa.
 
Red Pepper jasusi wa TISS ni mtu wa kawaida sana na anaishi maisha ya kawaida. anakuwa hatari tu kama usalama wake uko hatarini. Ndio maana hata mimi nikwambia ni jasusi huwezi kuamini. Ila wanafanya kazi kubwa sana. We ungekuwa uko jikoni na ukaona what information is being collected ungeshangaa.

The problem ya hii nchi ni kutokuthamini wasomi na analysis zao (hata wale walio TISS). Na hili ni nje ya uwezo wa TISS. Wenye nadharia za sayansi ya siasa wanasema kunahitajika Political will (utashi wa kisiasa) na hili sio jukumu la jasusi bali la wanasiasa.

Nimekusoma Caren. Collecting information is one thing (hata kama ni kutoka kwa informer), while processing and acting on such is something else, but very very important. Processing and acting is a tricky part of the game.
 
Tatizo siyo Informer mie naliona kwa UWT wenyewe, tuache kuwasingizia kuwa wanafanya kazi katika muktadha huu wa upepo mbaya wa nchi jinsi unavyokwenda. nchi haisongi mbele halafu tunasema wanafanya kazi? Kama wapo wasingekubali nchi itawaliwe na JK na swahiba zake, kwa namna moja ama nyingine, hawa ni vibaraka tu wa watawala.
 
to be sincere my friend, majasusi wa kiuchumi wapo lakini wamezidiwa kete na wale wa kijamii/mafisadi. washkaj wamesambaa kila kona including humu jf. wachache walioko kwenye nafasi za kupiga kelele (ndio wapambanaji) nao wamebanwa na chama ambacho kinadai kwamba ndicho chenye maslahi kwanza kisha ndio maslahi ya taifa. in short, tatizo la maslahi ya kitaifa na maslahi ya chama ndio la msingi wa mvutano ulioligawa chama hicho kinachoshikilia mpini hapa tanzania na ndio sababu ya msingi ya kukosekana kwa aina ya majasusi ambao moyo wako ungependa wawepo na/au wafanikiwe tanzania.
 
Leo hii mtu akianza kutengenza oil filter za toyota feki tanzania nahika serikali ya tanzania itashirikiana na Toyota ya japan kufunga kiwanda. Lakini wenztu wachina hawalindi viwanda vya watu wasiokuwa na production site China.

Mkuu hapo umeongea jambo moja la maana sana. Mi huwa nawaangaliaga watu wa FCC na kuwashangaa wanafanya kazi kwa maslahi ya nani haswa? Of course si kosa lao, kosa ni la Wabunge ambao wamepitisha sheria ya kuundwa kwa FCC.
 
tz inao majasusi na waliuliwa PCCB kama uliwahi sikia hiyo, hata uko usalama wamegawanyika!!!
 
kama ukitaka kugundua kitu fulani ni vema ukafanya utafiti, kazi kwenu
sasa tufumbue japo jicho moja umegudua nini

tz inao majasusi na waliuliwa PCCB kama uliwahi sikia hiyo, hata uko usalama wamegawanyika!!!
hahahahah hapa dada yangu umenichekesha ingawa sijakulewa. ebu maanisha ulichotaka kusema nijaribu kukuelewa.

Kama ni ma informer kama wanavyosema wataalamu kwa nini wasiwepo informer specific wa uchumi au teknolojia.

Nadhani awamu ijayo ya lala salama kwa kuwa Mkuu JK kishamaliza kuzunguka wizara na mikoa yote itabidi akatoe semina elekezi kwa kila ofisi ya ubalozi nje. Awape mikakai specific economic Technological au statistical figure za mambo muhimu tunayohitaji

By the way natoka nje ya mada kidogo hivi kuna anaye jua ile kesi ya Prof Costa Mahalu kuhusu kashfa ya ubalozi wa italy imefikia wapi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom