OFISI YAKO INAHIRAJI MFUMO WA AINA GANI

OFISI YAKO INAHIRAJI MFUMO WA AINA GANI

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,111
Reaction score
1,952
Hello mambers

naamini kuna watu wanao fanya kazi kwenye maofisi mengi ya binafsi na serikali

natamani kukusanya maoni na kujua mifumo gani ya kutunza taarifa na usimamizi inakosekana

hivyo kwa wale walio kwenye position hizo na una tunza taarifa na usimamizi wa kampuni au biashara kwenye makaratasi au madaftari basi nambie je unadhani mfumo wa kidigitali unaweza kuwa suluhu ya urahisi wa uzimamizi na taarifa ,

lakini pia je

unaweza uelezea kwa ufupi sana unaweza kuwaje na kurekodi taarifa zipi

Asante. ?
 
Back
Top Bottom