NgomaNzito
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 559
- 27
Kenya's President Mwai Kibaki and opposition leader Raila Odinga have signed a deal to end the country's post-election crisis. JK afanya kweli.

somebody shoot me! Hongera JK kwa kufanya kweli Kenya, natumaini the same procedure itafuatwa Zanzibar pia au sio (kama kweli ni wewe umefanya hili).
Hata mimi nawapongeza sana hasa Annan na timu yake nzima akiwemo rais Mkapa. Pia nampongeza rais wetu JK, uamuzi wake wa kubaki Nairobi jana huenda umesaidia. Kenya yenye amani ni bora kwa EA nzima.
JK na Mkapa tumieni ujuzi huo kuleta amani Zanzibar.
Jamani mimi nasita kupongeza mpaka tuone hayo yaliyo kny mkataba yametekelezwa kama walivyo kubaliana!! Hawa watu ni vigeugeu kweli I don't trust them at all!!

Festog,
Annan ana uzoefu mkubwa kwenye hii migogoro ya dunia. Kama amesema deal imepatikana nafikiri ni kweli deal imepatikana. Pia pale alikuwa na wale wasaidizi wake wote wa maana tokea UN.
Aliposimamisha mazungumzo na kusema sasa Odinga na Kibaki wenyewe lazima waamue, alifanya jambo la maana mno. Hata kwa TZ, inabidi ifike mahali
Mwenyekiti wa CUF na CCM wakae pamoja kuamua ya Zanzibar na sio kuwategemea akina Makamba.
Kuna pionti kubwa sana katika maandiko yako.
Odinga amekuwa akiyageuka makubaliano kila mara. Leo wakijadli hivi anakubali, ikija kwenye utekelezaji anakana kabisa kuhusika na makubaliano ya mwanzo. Annan ana kazi kubwa!
Tuvute subira kwanza kabla ya kuwapongeza kwa hatua hii.
Kenya's President Mwai Kibaki and opposition leader Raila Odinga have signed a deal to end the country's post-election crisis. JK afanya kweli.
SHUKRAN WATANZANIA KWA KUTULETEA AMANI
MAONGEZI YA ANNAN YALIKUWA YAMEGONGA MWAMBA LAKINI RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA MH. MKUU WA MAJESHI KANELI JAKAYA MRISHO KIKWETE ALIINGIA KENYA NCHI HII NA KULETA AMANI. SASA NDIO HUYU AMESIMAMA KUSHOTO WA KIBAKI NA RAILA KULIA KWAKE NA AKINA ANNANI PEMBENI: WANATANGAZA MAAFIKIANO.
NA NI KAMA YAFUATAYO
Executive PM
2 Deputies
Cabinet
President
Vice
2 Depts
Removal of any minister subject to consultation
PM and Deputy can only be renoved by vote of no-confidence
50/50
Constitutional amendment
Deal drafted by Wako and Orengo
You should see how far away Kalonzo is....ANANOSONONEKA MSALITI HUYU.
KENYA JUU
TANZANIA JUU
AFRIKA JUU
EU JUU
UK NA US JUU
MUNGU IBARIKI AFRIKA MASHARIKI.
KT
Ambao hawazioni kazi za JK humu ndani sasa unawashuka.
JK ahsante.
Haoooo wenye chuki za kibinafsi na JK wanaona haya.