Tanzania Yasaidia Kuleta Muafaka Kenya

kaka nanilii,
simpo, matatizo ya Zanzibara yapo local mno.......mpaka siku yatakapoweza ku-make biiiig and angry headlines ktk magazeti makubwa ya dunia hii, hakuna suluhisho lolote litakalo patikana!!

kingine, ni kwamba serikali ya daslam, imejitahidi sana na kwa mafanikio makubwa ku-paint mvts za upinzani huko pemba na terrorismo!!!.
kwa maana hiyo basi usitegemee makelele toka magharibi, bwana JK analinda mkate wa CCM........Pemba loses!!!.
 
Muafaka wa Zenjibar ulimalizwa kitambo pale Mh. Maalim Seif alipokubali kutambuliwa kama Waziri Kiongozi Mstaafu na kulipwa mafao yake yoooote tangu atoke madarakani, iliyobaki ni vkao vya Gahwa na Kashata mwisho watu wana sign Seating Allowances!!.

Penye udhia penyeza rupia
 
Umeeleza vizuri mwanzoni lakini hapo mwisho umejikanyaga.

Ukisema Zanzibar ni matatizo mengine kabisa hebu ainisha usemi wako.

Naomba uilezee kadamnasi hii ya JF Tofauti walau 2 au 3 kubwa za msingi kufanya issue ya Zinzibar iwe tofauti.

Nina hamu ya kusikia Ugumu au vikwazo vilivyopo Zanzibar kiasi cha kujustify Uharamia wa kumwaga damu ya Wapinzani.

Nina hamu ya kusikia hizo sababu.

Naomba kumsaidia Mdau.

Mosi:
Matatizo ya Kenya yaliegemea kwenye UKABILA
matatizo ya Zanzibar "yaliegemezwa" naomba nieleweke yaliegemezwa kwenye udini zaidi"

Pili:
Tatizo la Zanzibar ni la Kikatiba zaidi, kuna mambo mengi ya kuangaliwa na sisiemu wanaogopa kukubali mabadiliko ya Katiba ku accommodate Kafu kwani katiba yenyewe ina vilaka, Kuna vipengele zaidi ya 118 vya kujadiliwa kwenye muafaka ule! wakati Kenya walikuwa na vipengele si zaidi ya vitano!!
 
kila mtu anamua kuishi au kufanya jambo fulani kwa manuaa yake au jamii inayo mzunguka.Ukimsikiliza Raila katika hotuba yake amesema kwamba sio vizuri wakenya waumie kwa ajili ya maslai yake binafsi , kwa kujiwakilisha mwenyewe anajuta kwa maafa yaliyotokea kwa sababu ya wafuasi wake kumpenda sana pia anatoa nasaa kwa viongozi wa vizazi vijavyo kuwa wavumilivu wasijivunie umaarufu wao kwa umwagajidamu. Kwa kweli sio jambo rahisi kwa mtu mwenye ushahidi wa kudhulumiwa na sauti na nguvu ya kujitetea kubwaga manyanga. Anastaili pongezi. inawezekana katika histora ya dunia wako watu waliotoa matamshi kama haya lakini huwa ni wakati wameshakuwa wazee sana. ila kiubinadamu ni vigumu sana hata Pinochet alishindwa. Inabidi utafiti wa kina ufanyike ili njia mbadala za kutuliza ghasia zigundulike kwasabau inaelekea makadirio ya maafa yanayotokana na maandamano hasa katika nchi masikini yanaambatana uporaji mali hapa ndipo kunakuwa na agenda mbadala. wanapoingia wana usalama ndio tunapata maafa. sasa inabidi formula za kutuliza ghasia zifanyiwe utafiti
 
Sioni sababu ya kumpongeza JK,usikute alienda tuu kuofficiate ayo makubalianao kama Mwenyekiti wa Africa.
Pongezi ziende kwa Koffi na team yake and not otherwise.
 
Msichokijua... kuna ujumbe ambao ulitumwa na Marekani kwenda Ikulu yetu na kutoa pendekezo ambalo litakuwa wazi kabisa kwa Kenya kukubali. JK akiwa ndiye Mwenyekiti wa AU akaubeba ujumbe ule bila kuuchujisha. Ulipowekwa mezani hakukuwa na jinsi isipokuwa kukubali.

Hivi hamjajiuliza wakati Kofi aliweka manyanga chini na kususpend negotiations ikawaje apate moyo wa kuendelea tena. Marekani isipotaka jambo inakuwa vigumu kweli jambo hilo kufanyika. Baada ya nchi za Kiafrika kuachiliwa wajiamulie mambo yao wenyewe, Marekani ikaona isaidia katika kuamua mambo hayo.

Kwenye mkoba wa JK kulikuwa carrots na sticks zilizoandikwa "Made in USA". Walipoziona siyo Kibaki wala Raila aliyeweza kukataa...


Ndugu zetu wa Kenya nao wana maoni yao kuhusu Odinga na Kibaki: http://www.eastafricayote.com/showthread.php?p=1544&posted=1#post1544
 
Ndugu zangu,

Sote tunabahatisha tu. Hatujui nini kilichoendelea ndani ya upatanishi huu. Kikwete hawezi kwenda kule akafanikisha usuluhishi kwa muda mfupi kama ule. Wala hawezi kwenda kule kama kijumbe wa Bush. Kijumbe wa Bush (Condoleeza Rice) alishakwenda kule wakati Bush yuko Tanzania. Kama kulikuwa na ujumbe wa Bush ungeshafika kule kabla ya Kikwete. Kikwete alikwenda kule Rasmi kama mwenyekiti wa AU kushuhudia watu wanatia saini ya kukubaliana. Tumpe pongezi Kofi Annan na timu yake na pia PNU na ODM pamoja na viongozi wake. Kisha tukae pembeni tusibiri details zitapotolewa rasmi. Vinginevyo, tunaweweseka tu.
 
kaka nanilii,
simpo, matatizo ya Zanzibara yapo local mno.......mpaka siku yatakapoweza ku-make biiiig and angry headlines ktk magazeti makubwa ya dunia hii, hakuna suluhisho lolote litakalo patikana!!

kingine, ni kwamba serikali ya daslam, imejitahidi sana na kwa mafanikio makubwa ku-paint mvts za upinzani huko pemba na terrorismo!!!.
kwa maana hiyo basi usitegemee makelele toka magharibi, bwana JK analinda mkate wa CCM........Pemba loses!!!.

wewe sema tu kule kwetu wazungu hawajaamua kugangamala maana viongozi wetu wanaogopa wazungu tu. Na wazungu hawajagangamala kwa sababu wananchi hawajacharuka vya kutosha kama walivyofanya Kenya. Ndio maana wengine tumemshauri Maalim kama ataendelea kuwachekea akina Makamba watakwenda naye hadi 2010; anachotakiwa kufanya ni kurudi kwa nchi, awanunulie viatu waingie barabarani, wazungu wakiona hivi watambana JK naye atasikia maana ndiyo ma-boss wake. Vinginevyo, imeshatoka hiyo!
 
wewe sema tu kule kwetu wazungu hawajaamua kugangamala maana viongozi wetu wanaogopa wazungu tu. Na wazungu hawajagangamala kwa sababu wananchi hawajacharuka vya kutosha kama walivyofanya Kenya. Ndio maana wengine tumemshauri Maalim kama ataendelea kuwachekea akina Makamba watakwenda naye hadi 2010; anachotakiwa kufanya ni kurudi kwa nchi, awanunulie viatu waingie barabarani, wazungu wakiona hivi watambana JK naye atasikia maana ndiyo ma-boss wake. Vinginevyo, imeshatoka hiyo!

WAKUU MBONA TUSIANZISHE NYUZI YA SWALA LA ZENJ KIVYAKE
KISHA TUJADILIANE.HAYA NI MAONI YANGU TU MAANA KATIKA KUSOMA SOMA
HII MICHANGO YA WATU HUMU NDANI NADHANI IT IS A VERY SENSITIVE
TOPIC.AMA MNAONAJE?
 
Condoleza ndio alienda kumaliza mambo yooooooote (AMERICAN INFLUENCE). Huyo JK aliitwa tu kwa position yake kama chairman wa AU (Kumbukeni kwamba JK alielezea hili TVT yeye mwenyewe), hivyo hata chairman angekuwa Mugabe, Museveni, Mwanawasa deal ilikuwa ni lazima itimilike.

Tujaribu kutofautisha facts and opinions.
 
IMF boss salutes JK on Kenya
DAILY NEWS Reporters
Daily News On Saturday; Saturday,March 01, 2008 @00:02

THE International Monetary Fund (IMF) Managing Director has hailed the role played by President Jakaya Kikwete in resolving the Kenyan political stalemate. Mr Dominique Strauss-Kahn observed in Dar es Salaam yesterday that the power sharing deal that Mr Kikwete helped broker alongside the former UN Secretary General Kofi Annan would go a long way towards stabilising the region’s economy. He left the country yesterday.

''This is an achievement that all the people of Kenya must share and rejoice in. I salute the statesmanship by President Kibaki and Mr Odinga,'' said the Secretary General of the East African Community, Mr Juma Mwapachu, from Arusha, the headquarters of the EAC.

While recognising the patience of the African Union (AU) peace mediators led by former UN secretary general, Kofi Annan, Mr Mwapachu also hailed the role played by President Kikwete, a key partner in the EAC and the current AU chairman.

Reports from Nairobi said Mr Kikwete, who arrived in Nairobi, the Kenyan capital last Tuesday, chaired a crucial last minute five-hour peace meeting that saw Mr Kibaki and Mr Odinga, leader of the Orange Democratic Movement (ODM), emerge to sign the peace pact.

Progress had been hampered by hardliners on both sides leading a frustrated Annan at one point, announce to leave the Kenyans to clean their own mess. Mediating too was former Tanzanian president, Mr Benjamin Mkapa who is also a career diplomat.

But unbeknownst to mediators, Kenyans were generally tired of the crisis after nearly two months of violence following the disputed results of the last December 27 presidential polls Mr Odinga believed were rigged and that he was denied victory.

President Kikwete told reporters on arrival from Kenya on Friday evening at the Julius Nyerere International Airport that he had detected a sense of urgency on both sides to end the crisis. Mr Kikwete decided to stay one more day than was earlier scheduled.

He said Mr Kibaki and Mr Odinga signed the peace pact on their own accord, apparently as they were all eager “to get their country out of the political quagmire.” In Arusha, demand for the Kenyan shilling, the region’s strongest currency, soared as soon as news of the peace agreement was announced.

Bureau Chief, Deo Mushi reported hiked demand for the Kenyan shilling from bureaux de change and increased travel to Namanga town, usually a beehive of cross-border activity between Kenya and Tanzania.
 
Sioni sababu ya kumpongeza JK,usikute alienda tuu kuofficiate ayo makubalianao kama Mwenyekiti wa Africa.
Pongezi ziende kwa Koffi na team yake and not otherwise.

Koffi Anan, Mkapa na Gracia nafikiri ndo walikuwa wapatanishi muhimu
 
Hao walikuwa ni wapiga porojo tu kibano kimetoka kwa wenye nchi na kuogopa hatua ambazo USA & UK wangechukua kwani ndio wenye investment.
 
Hao walikuwa ni wapiga porojo tu kibano kimetoka kwa wenye nchi na kuogopa hatua ambazo USA & UK wangechukua kwani ndio wenye investment.

Asante mkuu,
Pia viongzoi wa PNU walitishiwa kunyimwa viza za
kusafir ulaya na familia zao zingerudishwa Kenya
ASAP kula kokoto na watu wengine wote.Kwa hivyo sio
siri International Community led by the US na UK
held the key in brokering the peace!
 
Dotori,

Naomba ureview mchakato mzima wa hili jambo kabla ya ku comment hivyo!! JK amekuwa huko for only two days ....alienda kushudia utiwaji saini wa makubaliano? hii nayo ni achievement mkuu?

Ni kweli JK amekuwa Nairobi kwa siku mbili tu. Lakini tukumbuke kuwa ilifika wakati Koffi Annan alitaka kusimamisha mazungumzo, ndipo JK alipoenda kujaribu kunusuru hiyo situtation.

Cha msingi hapa ni kuwa breakthrough ilitokea akiwa huko, haijalishi how long they have been talking prior to that.
Lets give him credit where it is due. Kwa hili la Kenya amefanikiwa pamoja ni timu ya Annan.
 
Umeeleza vizuri mwanzoni lakini hapo mwisho umejikanyaga.

Ukisema Zanzibar ni matatizo mengine kabisa hebu ainisha usemi wako.

Naomba uilezee kadamnasi hii ya JF Tofauti walau 2 au 3 kubwa za msingi kufanya issue ya Zinzibar iwe tofauti.

Nina hamu ya kusikia Ugumu au vikwazo vilivyopo Zanzibar kiasi cha kujustify Uharamia wa kumwaga damu ya Wapinzani.

Nina hamu ya kusikia hizo sababu.

Ahsante kwa hayo, kwa matazamo wangu: Matatizo ya Zanzibar, nikimaanisha Unguja na Pemba yakipata muafaka na kutuliwa haraka, Tanganyika tunaweza kuukosa mgao wa mafuta yaliopo kwa wingi kwenye pwani za Pemba na kwa kiasi kidogo kwenye pwani za Unguja. Tanganyika kwa kuhakikisha kuna matatizo huko yasiokwisha kunauhakika wa kupata mgao mkubwa kwenye utajiri huo. "devide them and rule them".

Huo mkuu ndio mtazamo wangu kwa ufupi. Kwa urefu, ni mjadala tosha.
 
Ni kweli JK amekuwa Nairobi kwa siku mbili tu. Lakini tukumbuke kuwa ilifika wakati Koffi Annan alitaka kusimamisha mazungumzo, ndipo JK alipoenda kujaribu kunusuru hiyo situtation.

Cha msingi hapa ni kuwa breakthrough ilitokea akiwa huko, haijalishi how long they have been talking prior to that.
Lets give him credit where it is due. Kwa hili la Kenya amefanikiwa pamoja ni timu ya Annan.

Safi sana Dotori,
Cha mno ni kwamba JK went to tell Kibaki the hali halisi and
in a language that is clear...Swahili!!!
 
I stumbled across this newspaper article. Kenyans have confirmed that Kikwete was not sent by the US. Infact the Kenyans are dismayed by US insulting our own President. Please read on........................

Kenya hails Kikwete as Kibaki pushes peace deal

2008-03-07 09:21:44
By Judica Tarimo

Kenya has hailed the diplomatic techniques President Jakaya Kikwete used in ending the stalemate over its bloody post-election crisis as an invaluable home-grown conflict resolution input.

The Kenyan government`s spokesman, Dr Alfred Mutua, told journalists in Dar es Salaam yesterday that the President`s intervention helped the parties to the conflict ``out of a critical situation``.

``President Kikwete came (to Kenya) with a message of hope! A message of peace! A message that we can make it and strike a deal as Africans. We really thank Tanzanians for allowing the President to come to our rescue,`` he said.

Dr Mutua, whose remarks revolved around the recently concluded negotiations between President Kibaki and opposition leader Raila Odinga, said the deal ended protracted talks in the wake of the violence triggered by Kibaki`s disputed re-election.

He said the Kenyan government and Kenyans in general appreciate Kikwete`s diplomatic intervention because it helped the negotiators and rival parties move towards a peaceful end to the deadlock.

Mutua noted further: ``We had come to a stalemate�The (peace) talks were almost suspended and chief mediator former UN secretary general Kofi Annan and other African personalities assisting him had already lost hope.

Then President Kikwete came and rescued the situation by facilitating the successful conclusion of the negotiations and the striking of an agreeable deal.``

``We are really thankful to President Kikwete and all Tanzanians for coming to our help when we were in need�Truly, a friend in need is a friend indeed. I saying thank you very much,`` he added.

He said Kikwete was a true role model in the Kenyan crisis and his intervention was clear testimony that long-standing African problems including political conflicts can be solved by Africans themselves.

Kenya has denied reports that foreign influence was used to pressure the Mwai government to conclude the talks that ended the post-election violence.

There have been reports that African Union Chairman Kikwete, who played a key role in pushing for signing of the peace pact, went to the negotiating table with an ultimatum from the US government.

Commenting on the reports yesterday, Dr Mutua said: �It�s really an insult and a show of disrespect to President Kikwete to think that way.


We must respect his valuable contribution to the success of the talks.

He made a personal initiative to help the parties concerned out of a crisis for the benefit of Kenyans and East Africans. We need to respect that.�

He added: ``It is imperative to appreciate that an African problem found an African solution. It`s totally wrong and a distortion of truth to say that President Kikwete went to the negotiation table with a threatening message from the US. After all, how can you force conflicting parties to agree on such sensitive issues? It�s simply impossible.``

He explained that a national peace and reconciliation body has been formed as part of the Kenyan government�s strategy to address the problems triggered by the crisis and find permanent solutions to them.

In Nairobi, meanwhile, President Mwai Kibaki yesterday commemorated the 1,000 people killed during his country`s post-election crisis and called on parliament to enshrine into law a power-sharing deal intended to keep the peace.

Kibaki, who last week agreed to bring Raila Odinga into a ``grand coalition`` government, opened Kenya`s 10th parliament with a minute`s silence first for two slain legislators and then for all the victims of violence.

He later urged the divided House to set aside partisanship and enact last week`s political agreement brokered by former UN boss Kofi Annan in the hope of drawing a line under the darkest moment in the country�s post-independence history.

``Please, succeed. Please, forget the history of what has happened,`` Kibaki (76) said in off-the-cuff comments at the end of his speech.

The President urged legislators to quickly pass legislation that will let Odinga (63), a former political prisoner who says Kibaki cheated him of the December 27 presidential vote by fraud, take up a new post of prime minister.
 
BiMkubwa heshima yako,

Nakuomba katika pita pita zako za siasa za Kenya, usims'kize
huyu Govt spokesman wa Kenya maana hua anaongea utumbo tu
kila anapofungua mdomo.Huyu bwana ni kama yule Goebbles wa
enzi za Hitler.Imagine hata baada ya mkataba kutiwa sahihi
alichurupuka na kusema eti Kibaki is still the center of
power na yeye(kibaki) ndiye atakayeteuwa baraza la mawaziri!!
Kumbuka mkataba ulisema 50.50
Kisha angalia hapa vile BBC walivyomkalia kidedea kuhusu
mikutano ya Mungiki Ikulu kwa Rais.Link hii hapa:

http://www.eastafricayote.com/showthread.php?t=853

P.S. kisha kwa taarifa yako jamaa ni choko.Story ziko Spokane,Washington,Marekani.Hii ni by the way na ni mada ya siku nyengine!
 
Back
Top Bottom