Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 730
- 658
Katika mwaka ulioishia Julai 2026, mauzo ya bidhaa na huduma nje ya Tanzania yalifikia Dola za Marekani bilioni 19.99, sawa na ongezeko la asilimia 16.5.
🥇 Dhahabu: Sh. trilioni 14.93
🏭 Bidhaa za viwandani: Sh. trilioni 5.83
🌾 Mazao ya asili: Sh. trilioni 4.29
✈️ Usafiri na utalii: Sh. trilioni 21.16
🏨 Utalii: Sh. trilioni 11.30
🚢 Usafirishaji: Sh. trilioni 8.48
Ongezeko hili linaashiria fursa zaidi za biashara, ajira na kipato kwa wananchi, huku uzalishaji wa ndani na mauzo ya bidhaa na huduma za Tanzania kwenye masoko ya kimataifa yakizidi kuimarika.