Mazao 10 ya kilimo yaliyoongoza mauzo nje ya nchi

Mazao 10 ya kilimo yaliyoongoza mauzo nje ya nchi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
82,971
Reaction score
89,207
My Take
Kama unataka pesa ni kulima ufuta na Kakao.

Pamba,Chai na Mkonge ni zilipendwa Kwa Sasa.Mwaka wa pili mfululizo Ufuta unaongoza.

Mazao 10 ya kilimo yaliyoongoza mauzo nje ya nchi:

1. Ufuta - Trilioni 2.0
2. Korosho - Bilioni 931.0
3. Tumbaku - Bilioni 860.2
4. Mbaazi - Bilioni 615.2
5. Kakao - Bilioni 568.6
6. Mchele - Bilioni 450.5
7. Kahawa - Bilioni 392.9
8. Mahindi - Bilioni 348.9
9. Dengu - Bilioni 280.3
10. Parachichi - Bilioni 252.3
snapins-ai_3637996843984750239.jpg



Haya ni matokeo ya muendelezo wa kazi nzuri iliyofanywa na Samia kwenye sekta ya Kilimo.
 
My Take
Kama unataka pesa ni kulima ufuta na Kakao.

Mazao 10 ya kilimo yaliyoongoza mauzo nje ya nchi:

1. Ufuta - Trilioni 2.0
2. Korosho - Bilioni 931.0
3. Tumbaku - Bilioni 860.2
4. Mbaazi - Bilioni 615.2
5. Kakao - Bilioni 568.6
6. Mchele - Bilioni 450.5
7. Kahawa - Bilioni 392.9
8. Mahindi - Bilioni 348.9
9. Dengu - Bilioni 280.3
10. Parachichi - Bilioni 252.3
View attachment 3344247
Dah, ila kusini aisee; mazao matatu katika manne ya juu yanalimwa kwa wingi huko........ufuta, korosho na mbaazi
 
My Take
Kama unataka pesa ni kulima ufuta na Kakao.

Mazao 10 ya kilimo yaliyoongoza mauzo nje ya nchi:

1. Ufuta - Trilioni 2.0
2. Korosho - Bilioni 931.0
3. Tumbaku - Bilioni 860.2
4. Mbaazi - Bilioni 615.2
5. Kakao - Bilioni 568.6
6. Mchele - Bilioni 450.5
7. Kahawa - Bilioni 392.9
8. Mahindi - Bilioni 348.9
9. Dengu - Bilioni 280.3
10. Parachichi - Bilioni 252.3
View attachment 3344247
Dah! Kweli dunia imebadilika, dengu inaizidi hata pamba kwa kuingiza kipato?!
 
Hivi ufuta nao una mambo ya stakabadhi ghalani na minada?
ndio na watu wanapigwa balaa

pia kuna watu wananunua kwa bei chee na kwenda kuuza kwenye minada bei imechangamka kdg

ila mkulima anapigwa sana
 
Back
Top Bottom